Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire
na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umetuonesha picha yake tu,... Maisha yake halisi hujatuhadithia hata kwa 001%Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire View attachment 3264011na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
Anakufaa kabisa uyu si mnapenda mabibi uniqueHaya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire View attachment 3264011na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
Huyu alijipiga tattoo mpaka kwenye Mboni ya Jicho ikampofua sasa hivi ni kipofu haoni tenaUkitafuta wagonjwa wa akiri ndio huyo.
Guinness RecordSasa mbona wanakuwa wazuri kweli harafu wanajibadirisha hivyo hovyo hovyo
🤣🤣🤣
Kumekuchaaaa... Hapo kuna wanaume wanatamani wamubusu n.k.
Rangi kama zile sita pia
Duh aiseee
Sasa mbona wanakuwa wazuri kweli harafu wanajibadirisha hivyo hovyo hovyo