Haya ndio maisha ya Marehemu Diego Maradona aliewahi kuwa mwanasoka Nguli kutoka Argentina,

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake..

Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya majaribio ya kujiunga na academy, Rafiki yake anampigia connection ili apate nauli:

Your browser is not able to display this video.

WHILE THIS STORY IS BASED ON ACTUAL EVENTS, CERTAIN CHARACTERS, INCIDENTS AND DIALOGUE WERE FICTIONALIZED. ANY SIMILARITY TO ANY PERSON, LIVING OR DEAD, IS FOR DRAMATIC PURPOSES.
 
Kwa hiyo walikua wanamfatilia na makamera yao?
 
nikipata muda ntakutafsiria
 
Itafika mpaka part ngapi mzee? Maana maisha ya Diego Armando Maradona yana mengi mnoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…