Haya ndio majabu ya Maneno ya Yesu na ukristo

Haya ndio majabu ya Maneno ya Yesu na ukristo

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
4,177
Reaction score
4,887
Yohana 5:30
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.

Na haya ndio maneno aliyoambiwa ayaseme

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Sasa nyinyi wakristo sijui mtapitia mlango gani Ili mpate huo uzima wa milele maana Yesu hawezi kuwa Muongo
 
Nitakuja Kuedit Hapa.

Nasadiki Kwa Mungu Mmoja Baba Mwana Na Roho Mtakatifu
Nasafiki Kwa Mungu Mwana Aliyejifanya Mtu Kwa Ajili Yetu, Akaziliwa Na Bikira Maria Kwa Uwezo Wa Mungu Roho Mtakatifu Akawa Mwanadamu.
Aliuvaa Ubinadamu Wetu na Katika Ubinadamu huo aliyapata madhaifu ya kibinadamu lakini hakutenda dhambi. Kabla ya Mateso na kifo chake alikuwa kweli akihubiri na kuongea katika hali ya kibinadamu na mara chache alitoa siri ya uungu wake kwa wafuasi wake. Baada ya Ufufuko wake aliongea na maelfu kwa uwazi na mwisho akapaa mbinguni huku akishuhudiwa na maelfu.

Kwa Jina La Baba na La Mwana Na La Roho Mtakatifu. Amina.
 
Yohana 5:30
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.

Na haya ndio maneno aliyoambiwa ayaseme

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Sasa nyinyi wakristo sijui mtapitia mlango gani Ili mpate huo uzima wa milele maana Yesu hawezi kuwa Muongo
Yohana 10
29 Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.

30 Mimi na Baba tu umoja.

Vv
 
Hakuna majiniasi wa kuwalinganisha na wale walioleta dini na vitabu vyake. Hasa vile vitabu viwili.
 
Back
Top Bottom