chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
Ndugu, angalia vizuri, mwinuko unaonekana wazi. Cheki kulia mbali mwa hizo Helkopita 2...iyo kremlin mbona haipo kwenye mwinuko mi naona tambarare tu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, angalia vizuri, mwinuko unaonekana wazi. Cheki kulia mbali mwa hizo Helkopita 2...iyo kremlin mbona haipo kwenye mwinuko mi naona tambarare tu hapo
walisema wataanza tambua yanapotengenezwa makalai!!..Mmeliacha la Lumumba mnapotengeneza misukule???
Mnapotenezwa mashoga huko Lumumba VP??walisema wataanza tambua yanapotengenezwa makalai!!..
Nilitaka kuishangaa hii list nikakuta kumbe nilishawahi ishangaa huko nyuma!..Ongezea haya:-
-Great Pyramids of Giza
-Great Wall of China
-Empire State Building
-Leaning Tower of Pisa
-Hanging Gardens of Haifa
-Hagia Sophia, Istanbul
Burij KhalifaOngezea haya:-
-Great Pyramids of Giza
-Great Wall of China
-Empire State Building
-Leaning Tower of Pisa
-Hanging Gardens of Haifa
-Hagia Sophia, Istanbul