Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

Shiwawa

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
30
Reaction score
10
Wakati benki inavamiwa, nikapiga 112
nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI
TANZANIA
KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili
press 1 for
english press 2, nikabonyeza 1, sauti ikasema
kwa
ajali ya barabarani au moto bonyeza 1
kwa
ujambazi bonyeza 2, nikabonyeza 2,
sauti ikasema:
kama majambazi wana rungu, panga na visu
bonyeza 1, pisto 2, SMG 3, AK 47
bonyeza 4,
bomu 5 kama wanavyo vyote bonyeza
6,
nikabonyeza 6. Sauti ikasema "mmh..! Ndugu
yangu
ungekuwa wewe ni polisi ungeenda
kweli..??!!"
 

Hahahaahaa... I like dat
 

Nakufa kwa kicheko huku jamani
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Makunguru supermarket Mbeya.
 
hello hapo mi natulia nazga kama sijamskia vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…