wewe kweli ndie ulieandika hapa??Stupid post ever
Ifike pahala moderators wawe wana wana set some questions za kupima uelewa kabla ya kuwaruhusu wapuuzi kama mleta mada
ndio kwani vipi?wewe kweli ndie ulieandika hapa??
Kama ipi??
Thibitisha!
Ukishindwa tengua kauli!
Jamiiforums ya sasa sio ya miaka 5 mpaka saba iliyopita. Wakati ule moderator ndio walikuwa wanaazisha nyuzi. Nyuzi zilizokuwa zinatembelewa kuliko nyuzi nyingine zozoye.
Ni wakati ambao invisible au mwanakijiji alikuwa akianzisha thread hakuna kupumua.
Hawapo au hawaoni cha kuanzisha, matokeo yake waruhusu nyuzi zisizo na kichwa wala miguu kuanzishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitoi kiki
Umebuma bro
Point ni IPI hapo sasa??? Watanzania tuna kasumba moja hatuna constructive ideas kazi yetu ni kuhalalisha alichokisema mwingine , hatuwezi kujenga taifa kwa style hizimajina yafuatayo huwa sipendagi kuyasikia kutoka na jinsi yalivyo majina yenyewe ni haya yafuatayo
-chausiku
-mwanne
-bashite
-kondakta
Eminem wynemajina yafuatayo huwa sipendagi kuyasikia kutoka na jinsi yalivyo majina yenyewe ni haya yafuatayo
-chausiku
-mwanne
-bashite
-kondakta
exactlyHiyo miaka mitano kulikua na watu kama wewe wasiojua kuandika?
pro-hillary kumbe na huku unafikaga najuaga unapatikana kwenye majukwaa matatu tu yani jukwaa la siasa,international, entertainment
baba paroko upo miss u aseePoint ni IPI hapo sasa??? Watanzania tuna kasumba moja hatuna constructive ideas kazi yetu ni kuhalalisha alichokisema mwingine , hatuwezi kujenga taifa kwa style hizi
We umeacha kuchunga ng'ombe umekuja kutusumbua humu?majina yafuatayo huwa sipendagi kuyasikia kutoka na jinsi yalivyo majina yenyewe ni haya yafuatayo
-chausiku
-mwanne
-bashite
-kondakta
Stupid post ever
Ifike pahala moderators wawe wana wana set some questions za kupima uelewa kabla ya kuwaruhusu wapuuzi kama mleta mada