Haya ndio majina ambayo huwa siyapendi

Haya ndio majina ambayo huwa siyapendi

Mi napenda jina kama la nyerere , Julius. Na la kambarage
 
Jamiiforums ya sasa sio ya miaka 5 mpaka saba iliyopita. Wakati ule moderator ndio walikuwa wanaazisha nyuzi. Nyuzi zilizokuwa zinatembelewa kuliko nyuzi nyingine zozoye.
Ni wakati ambao invisible au mwanakijiji alikuwa akianzisha thread hakuna kupumua.
Hawapo au hawaoni cha kuanzisha, matokeo yake waruhusu nyuzi zisizo na kichwa wala miguu kuanzishwa
 
Hiyo miaka mitano kulikua na watu kama wewe wasiojua kuandika?
 
majina yafuatayo huwa sipendagi kuyasikia kutoka na jinsi yalivyo majina yenyewe ni haya yafuatayo
-chausiku
-mwanne

-bashite
-kondakta
Point ni IPI hapo sasa??? Watanzania tuna kasumba moja hatuna constructive ideas kazi yetu ni kuhalalisha alichokisema mwingine , hatuwezi kujenga taifa kwa style hizi
 
Mie huwa nazuka kote kote Mkuu ila kule siasani kwa maoni yangu ndiyo moyo wa JF.

pro-hillary kumbe na huku unafikaga najuaga unapatikana kwenye majukwaa matatu tu yani jukwaa la siasa,international, entertainment
 
Point ni IPI hapo sasa??? Watanzania tuna kasumba moja hatuna constructive ideas kazi yetu ni kuhalalisha alichokisema mwingine , hatuwezi kujenga taifa kwa style hizi
baba paroko upo miss u asee
 
majina yafuatayo huwa sipendagi kuyasikia kutoka na jinsi yalivyo majina yenyewe ni haya yafuatayo
-chausiku
-mwanne

-bashite
-kondakta
We umeacha kuchunga ng'ombe umekuja kutusumbua humu?
Stupid post ever

Ifike pahala moderators wawe wana wana set some questions za kupima uelewa kabla ya kuwaruhusu wapuuzi kama mleta mada
 
Eti umesema hupendi...

-Bashite
-Kondakta

>Jana Bashite alipanda daladala akakataa kulipa nauli wakagombana na Kondakta kisa Hajaonyesha kitambulisho kama yeye ni mwanafunzi au mtu mzima yeye anasema wakusoma kondakta anasema kitambulisho kiko wapi????
 
Back
Top Bottom