Pre GE2025 Haya ndio majina matatu ya wanachama wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua akimwaga mboga anamwaga ugali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna kitu hapo
 
Lisu ni 3 dimensional figure anapojitokeza kuongelea jambo hadharani hakurupuki, nzuri zaidi huwa hana mhemko
 
hakuna kitu hapo yaani kwa Lissu ccm watakuja zamu kwa zamu,wengine wakienda kunywa maji waingie wengine Lissu ataendelea tu kuwa uwanjani kutafta pointi 3 za lazima
 
L

Hakuna hapo. Labda kwa mbali Prof Kabudi kwa sababu na yeye anaijua vizuri historia kama Tundu Lissu

Hao wengine vilaza tu
palamagamba lazima ashindwe uzuri kila kitu kipo kwenye documents na historia inaonyesha kuna vitu vilipindishwa makusudi tokea mwanzo kwa masilahi flaniflani kwenye huu muungano wetu,hivyo Lissu ataibuka tu kinara mbele ya watanzania ukijumlisha facts na Logical resoaning
 
Kakafulila kajanjajanja katammaliza kabisa huyu Lissu kwa hoja
Lisu hatoagi Hoja sababu chama chake hakina Ilani Kwa hiyo ni mumbeya Fulani hivi ambaye kiongozi mfano wa CCM ajijamba hadharani Lisu atabeba Hilo ataanza hotuba yake ohh juzi juzi hapa mmumeskia kiongozi wa CCM aliyejamba hili Chadema hatukinyamazia tutalisema mikitano yote.Sasa hapo mtu mwenye asili timamu utamjibu Nini mara ohh Kuna pesa zinatoka Kwa Abdul na mama yake hajataja huyo Abdul ni mtoto wa nani na mama yake nani? Anapotezea watu muda tu Kwa legal rubbish majukwaani Kwa vituko vya kipuuuzi akijua Wala hakuna wa kumshtaki Kwa hiyo legal rubbish kaongea kama hiyo ya kuongelea Abdul na mama yake keani hata umpeleke mahakamani mahaka itasema umemleta huyo mwehu kufanya Nini hapa mahakamani huyo Abdul anaongelea aweza kuwa kichaa mwokota makopo barabarani na huyo mama yake Abdul ambaye hajamtaja aweza kuwa mgonjwa mwenzie wa akili wanayetibiwa naye wote ubelgiji

Kiukweli Lisu hana Hoja za kisiasa za maana majukwaani ni mhuni tu
 
Kwa hivyo Leo kinana alikuwa anajikanyaga kwa sababu gani?.
 


Mmweeee 😛😛
 
Nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…