Rubbish, Yani mtu aliyetamka hadharani kuwa aliokotwa kwenye jalala akapambanishwe na mtu aliyeshinda risasi 16?Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Kabudi NCCRSio CCM ni Chama gani?
Naona mnatengeneza migogoro ili msijibiwe
Anaongelea siasa za kistaarabuKwa hivyo Leo kinana alikuwa anajikanyaga kwa sababu gani?.
Ndugu Bezecky tangu lini uongo ukaweza kushindana na kweli.?Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Huyo kafulila toa kabisaLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Tundu Lissu anaongea kisomi zaidi,mzee polepile na kafulila hawana akili za kumzidi hoja labda kabudi japo naye amesusa kushiriki siasaLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Sahihi kabisakabudi ni mwalimu wa lisu darasani 😀 , hata mimi siwezi shindana na ticha aliyenifundisha hata iweje
Huna hoja wewe.Lissu Muongo na mnafiki wa kupinduki, Mpuuzeni kabisa
kabudi ni mwalimu wa lisu darasani 😀 , hata mimi siwezi shindana na ticha aliyenifundisha hata iweje
Kwani sasa hivi anamaagizo ya kutojibu hoja. Kafulila anajua ukweli hawezi lopoka hivyo.Kakafulila kajanjajanja katammaliza kabisa huyu Lissu kwa hoja
Walikuwa naye bungeni, akawashinda kwa hoja wakamfuata na Ak 47.Kabudi atamnyoosha sana
Prof. Kabudi ni mwalimu wake pia. Tusisahau Prof. Kabudi alikuwa kwenye Tume ya Warioba vile vile Pole Pole. Wote ni waumini wa serikali tatu. Kama una mashaka google..Lissu mwalimu wake ni Prof.Issa Shivji.
Prof. Kabudi ni mwalimu wake pia. Tusisahau Prof. Kabudi alikuwa kwenye Tume ya Warioba vile vile Pole Pole. Wote ni waumini wa serikali tatu. Kama una mashaka google
Lissu mnamaifia kama MunguWalikuwa naye bungeni, akawashinda kwa hoja wakamfuata na Ak 47.
Unaota Sheria yeyote huanzia pale inapipitishwa Mfano huwezi Sema mfumo wa vyama vingi ilitakiwa uanze Toka uhuru wa nchi hivyo vyama vya siasa vikivypo Sasa vilipwe ruzuku Toka mwaka 1961Mali za Tanganyika hazipo kwa sababu Tanganyika haipo.
Vyama vya siasa ili viwe na nguvu ni lazima virudishe kwanza Mali za Wananchi zilizopatikana enzi ya mfumo wa Chama kimoja.
Kwa hao aliowataja ni Kabudi peke yake ndiye anayeweza kujenga hoja za kipropaganda.L
Hakuna hapo. Labda kwa mbali Prof Kabudi kwa sababu na yeye anaijua vizuri historia kama Tundu Lissu
Hao wengine vilaza tu