Rubbish, Yani mtu aliyetamka hadharani kuwa aliokotwa kwenye jalala akapambanishwe na mtu aliyeshinda risasi 16?Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila