kelvin omataro
Member
- Feb 2, 2022
- 45
- 56
Bado kabisaLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Nchi ngumu sana hiiKafulia alikuaanapewa madini na Msigwa.
Kabudi hana analojua zaidi ya kutoa macho.
Pole pole mpaka apewe ubao ndio ataanza kujibu.
Pole pole ni hatari mkuu anajua kujenga hoja. Hayo majina 3 ni hakikaHuyo Kabudi na Kafulila sawa Polepole ataanza kuchora chora ubao tu
Lissu hajawahi kuwa "kijana wa mjini".Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Kafulila ni sawaLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Huwa namkubali Polepole sana,ana hoja makini na za kisomi sana.Lissu haoni ndani hapa.Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Acha mbwembwe wewe! Kafulila si ndio yule aliitwa tumbili na Chenge? Kama ndio uyo ni mweupe kichwani hana uwezo wa kushindana na Lissu! Kidogo kabudi au DK Bashiru hapo Lissu anaweza kuyumba kidogoNi Mimi Kafulila au sijaelewa?
Hao wote niliowataja wamepambana na Lissu kwa hoja mara kadhaa nenda Kagoogle.
Viva CCM viva Samia VivaLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Mzee kata gogo umalize Kisha usome tena ulichoandika, kama wewe ni mjanja mjanja Kwa Lissu usijaribu utaumbuka unatakiwa kuwa competent ndo angalau utafika raundi ya pili vinginevyo wabunge woote wa ccm wakiwa upande mmoja Lissu peke atawafurumua kama siafu wanavyofurumuliwa na mhangaKakafulila kajanjajanja katammaliza kabisa huyu Lissu kwa hoja
Lissu kwa Dr. Bashiru anakaa sana....namkumbuka sana Bashiru kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa kwenye Redio za kimataifa kama V.OA, DW, BBC...ukimsikiliza bashiru ndio utaona ana akili ganiAcha mbwembwe wewe! Kafulila si ndio yule aliitwa tumbili na Chenge? Kama ndio uyo ni mweupe kichwani hana uwezo wa kushindana na Lissu! Kidogo kabudi au DK Bashiru hapo Lissu anaweza kuyumba kidogo
Mbona Yuko Serikalini tatizo liko wapi?Kafulila sijui kwanini CCM haimtumii huyu jamaa nakumbuka wakati wa JPM alininyooshea balaa huyu mwehu
Daah 😃🤣🤣🤣🤣🤣Kwani ndanj ya CCM Kuna kichaa?
Lissu ni u PM au u AG.Lissu apewe ubalozi uko atulie, atasumbua sana, Mama afanye hivyo tu
Nimecheka mpaka nimepaliwa na whisky hapa.Da wee udabadilika guligana damadigira
Uongo wake ni upi?Lissu Muongo na mnafiki wa kupinduki, Mpuuzeni kabisa
Apewe u AG ili arahisishe njia ya ushindi...Lissu ni u PM au u AG.