Pre GE2025 Haya ndio majina matatu ya wanachama wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua akimwaga mboga anamwaga ugali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.

Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.

Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.

1. Prof Palamagamba Kabudi

2. Hamprey Polepole

3. David Kafulila
Bado kabisa
Hawawezi kupambana naye
 
Watz hamjitambui.Bado mnahusudu walewale wanaotufanya tuwe masikini .Naona tuna matatizo kichwa I.
 
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.

Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.

Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.

1. Prof Palamagamba Kabudi

2. Hamprey Polepole

3. David Kafulila
Lissu hajawahi kuwa "kijana wa mjini".

Au unamaanisha mji upi huo? Labda Manyoni.
 
Kwani wewe unaelewa vipi mtu kuitwa kijana wa mjini?

To me kijana wa mjini ni "muchknow"
 
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.

Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.

Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.

1. Prof Palamagamba Kabudi

2. Hamprey Polepole

3. David Kafulila
Kafulila ni sawa
 
Huwa namkubali Polepole sana,ana hoja makini na za kisomi sana.Lissu haoni ndani hapa.

Kabudi ameshakuwa Mzee, ingawa ni mzalendo sana na ana ufahamu mkubwa sana compared to Lissu.Hoja zake ni very calculated.Kwa sababu ya umri wake hata hivyo, isingekuwa busara kumpambanisha na Lissu mkorofi na ambaye ni very energetic.

Kafulilaa,compared to the other two ufahamu wake kidoogo uko chini, obviously kwa sababu ya elimu yake ndogo.Huyu kijana ni mpole na kwa vile Lissu ni mkorofi sana, asingefaa kupambana naye.
 
Ni Mimi Kafulila au sijaelewa?

Hao wote niliowataja wamepambana na Lissu kwa hoja mara kadhaa nenda Kagoogle.
Acha mbwembwe wewe! Kafulila si ndio yule aliitwa tumbili na Chenge? Kama ndio uyo ni mweupe kichwani hana uwezo wa kushindana na Lissu! Kidogo kabudi au DK Bashiru hapo Lissu anaweza kuyumba kidogo
 
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.

Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.

Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.

1. Prof Palamagamba Kabudi

2. Hamprey Polepole

3. David Kafulila
Viva CCM viva Samia Viva
 
Kakafulila kajanjajanja katammaliza kabisa huyu Lissu kwa hoja
Mzee kata gogo umalize Kisha usome tena ulichoandika, kama wewe ni mjanja mjanja Kwa Lissu usijaribu utaumbuka unatakiwa kuwa competent ndo angalau utafika raundi ya pili vinginevyo wabunge woote wa ccm wakiwa upande mmoja Lissu peke atawafurumua kama siafu wanavyofurumuliwa na mhanga
 
Acha mbwembwe wewe! Kafulila si ndio yule aliitwa tumbili na Chenge? Kama ndio uyo ni mweupe kichwani hana uwezo wa kushindana na Lissu! Kidogo kabudi au DK Bashiru hapo Lissu anaweza kuyumba kidogo
Lissu kwa Dr. Bashiru anakaa sana....namkumbuka sana Bashiru kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa kwenye Redio za kimataifa kama V.OA, DW, BBC...ukimsikiliza bashiru ndio utaona ana akili gani
 
Back
Top Bottom