Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wee Jamaa toka ukose ubunge Arusha unaishi kwa shida sana. Muda wote unaumia na maisha ya uliokuwa unakula nao 2010 mpk 2020. Tafuta ata Genge ufanye ujasiliamali. Kubaliana na hali sio Kila siku unalialiaHebu fanya tathmini yako uone kama atatoboa .
Huyu anaishi kwenye Nchi ambayo DED tu anatumia V8 , huku Mawaziri magari yao yakiwa ya bei mbaya hadi kuzidi Tsh mil 600
View attachment 2859176
Ushauri wako ni mzuri sana ila umepeleka kwa asiyehusikaWee Jamaa toka ukose ubunge Arusha unaishi kwa shida sana. Muda wote unaumia na maisha ya uliokuwa unakula nao 2010 mpk 2020. Tafuta ata Genge ufanye ujasiliamali. Kubaliana na hali sio Kila siku unalialia
Malizia na kiongozi wa chama cha upinzani kajenga hekalu la kifahari kijijini kwake😎...Huyu anaishi kwenye Nchi ambayo DED tu anatumia V8 , huku Mawaziri magari yao yakiwa ya bei mbaya hadi kuzidi Tsh mil 600...
Hatuna shida na mabilionea wa halali , sasa Mwigulu au Simbachawene wamepata wapi utajiri ?Malizia na kiongozi wa chama cha upinzani kajenga hekalu la kifahari kijijini kwake😎
Ulaaniwe mwaka mzima huuWee Jamaa toka ukose ubunge Arusha unaishi kwa shida sana. Muda wote unaumia na maisha ya uliokuwa unakula nao 2010 mpk 2020. Tafuta ata Genge ufanye ujasiliamali. Kubaliana na hali sio Kila siku unalialia
Kenani anatembelea mkokoteni!Hebu fanya tathmini yako uone kama atatoboa .
Huyu anaishi kwenye Nchi ambayo DED tu anatumia V8 , huku Mawaziri magari yao yakiwa ya bei mbaya hadi kuzidi Tsh mil 600
View attachment 2859176
Swali lako ni la kijingaKenani anatembelea mkokoteni!
Ni kweli hata mdee na bulaya wana ona wajinga mnapofanya maandamano ya bawacha huku wao wanakubalika moja kwa moja na katibu mkuu na mwenyekiti!Swali lako ni la kijinga
Hujui kituNi kweli hata mdee na bulaya wana ona wajinga mnapofanya maandamano ya bawacha huku wao wanakubalika moja kwa moja na katibu mkuu na mwenyekiti!
Na kuwapachika majina ya kudhalilisha , Eti Wanyonge !Africa ni bara, ambalo matajiri wanatesa walio maskini.
Erythrocyte siyo wa Arusha.Wee Jamaa toka ukose ubunge Arusha unaishi kwa shida sana. Muda wote unaumia na maisha ya uliokuwa unakula nao 2010 mpk 2020. Tafuta ata Genge ufanye ujasiliamali. Kubaliana na hali sio Kila siku unalialia
😟, Wanafanya hivyo kuwazubaisha akili zao, na bado kiongozi huyo huyo anatoka na V8 ofisini kwake anenda Kijijini kuwakanyaga kanyaga wanamama Migongoni mwao. Ila Tz 😀Na kuwapachika majina ya kudhalilisha , Eti Wanyonge !
Bado hujasema jana ulikataa ila wao wamesema wana ushirikiano mzuri na mwnykt na kM vipi utaandama kuwapinga mjumbe wa bawacha songwe!Hujui kitu