Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 721
- 622
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Wale tunaokaa kwetu tunachukiwa sana na wanaokaa ghetto. Utasikia 'jamaa mkubwa tu ila anakaa kwao'.
Sasa kama kwetu nyumba zipo zakutosha unataka tukapange ili huku kwetu wafugie majini au?