Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate
Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto wako.
Kusaidia ni njia namba moja inayoleta MAFANIKIO kuna watu huwa hawaishiwi wala familia zao kusota hii ni malipo ya good karma.
Kushukuru (gratitude) ukiwa MTU wa kushukuru basi mambo yenye kheri yatakuzunguka iwe mahusiano ,familia au RIZIKI. Mimi kushukuru ndo njia yangu bora inayoleta utoshelevu wa nafsi.
Meditation - hii ndo njia nzuri ya kukufanya kuwa na utulivu wa akili na hisia na kuvuta mambo chanya.
Subconscious mind - hapa na penyewe kuna hazina kubwa Sana kuwa makini Sana unachoongea Mara kwa Mara..hicho ndo kitakuwa sehemu ya maisha yako.
Positive thinking -kufikiri mambo chanya , kutowaza mambo mabaya n.k