Mzee Wa Liverpool
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 197
- 22
W. J. Malecela kwa nini kama mnataka serikali mbili wawakilishi wa znz watoe tamko sasa kuwa watarekebisha katiba yao. hakuna haja ya kutumia nguvu. na muwaambie znz kuwa mambo ya muungano yanatakiwa kuwa yanaongezeka sio kupungua.
Ili kuonekana kijana unatakiwa kuongea kwa fact sio kukariri maneno ya nyuma bure bure. sikujua kama wewe ni mwepesi kiasi hiki.pamoja na msimamo wa chama chako ulipaswa kuandika hapa sababu za kupendekeza serikali mbili. vijana tukiwa hivi n aibu jamani.
lemutuz anasikilizia mzee j.m agome kuamka amrithi cheupe.
- Mkuu punguza hasira maneno ya Mwalimu hapa mimi sijasema kitu, kama unataka pingana na maneno ya Mwalimu Baba wa Taifa kama alivyofanya Warioba, usinilaumu mimi hapa sijasema anything punguza hasira haya sio maneno yangu kaka ni ya Mwalimu!1
Le Mutuz
Nyerere alikuwa binadamu kama wengine maneno yake siyo msahafu kuwa yasipingwe, hakuna anayetaka kuvunja muungano tatizo la huu muungano una matatizo mengi.
Watu wanaitaji muungano wenye maslahi pande zote mbili, Jaji Warioba kaeleza kero za muungano huu wa kimaghumashi.
Siyo wote wanahoji huu muungano wanataka madaraka.[/
kwa mara ya kwanza leo nakuunga mkono..big up sana
Hivi mtoto akizaliwa tukiwa na Tanganyika atakuwa Mtanzania,mtanganyika au mshirikisho.,,,,,hahaha,na uraia wake utakua tofauti na wazazi,,,,hahahahaha,Rest in Peace warioba umezeeka vibaya
Kumbe mnamkumbuka tu kuhusu muungano vipi kuhusu rushwa, ufisadi na uhujumu rasilimali za taifa?
-mikataba feki unaizungumziaje?
-utawala wa kifalme unaochipuka kwa kasi unauzungumziaje?
-vyombo vya dola kuua raia wasio na hatia unazumgumziaje?
-kuwafanya wananchi watumwa katika nchi yao vp?
**KAMA KWELI MNANUENZI NA KUMKUMBUKA MWALIMU BASI MKUMBUKENI KWA MATENDO.
My take: Tanzania kwanza wageni baadae
wanafiki wakubwa nyie, acheni uzandiki wa kishenzi
"Kuifufua Tanganyika ni Kuiua Tanzania,Sikubaliani Kabisa na Swala hili,Kwa Sifa tu na Uroho wa Madaraka na huku Wakishabikiwa na Mazuzu kuna watu Watafanya Kila hila Zanzibar Ijitenge na Tanganyika,Nasema Dhambi hii ya Utengano na Iwatafune,Naomba Mungu anisamehe,Hakika Dhambi ya Utengano na Iwatafute hawatabaki Salama" - By.Mwl.Julius Nyerere.
"...Waasisi walituachia muungano wa nchi moja
yenye serikali mbili na siyo nchi mbili zenye
serikali mbili..." - Jaji Warioba
- "Hivi nchi mbili zikiwa na matatizo dawa ni kuongeza ya Tatu?" - BY JK
Le Mutuz
Mkuu naomba ujibu nukuu ya Mzee Warioba.....ni ya msingi sana, Nini chimbuko la nchi mbili zenye serikali mbili ambayo ndio hoja ya CCM
Haka ka mungano mbona kanaliliwa hivi. Kwani Kana nini cha maana. Mbona Mimi sioni. Mpaka inafikia kuombeana laana kwa mwenyezi.
Marekani miaka ya 1800 kipindi cha rais abraham lincoln walipata sakata kama hili. Wakapigana civil wars so to defend the union. Lakini Hawa walikiwa sahihi kwa sababu walikiwa na nchi nyingi Zilizoungana, na sio mbili kama sisi. Hapa point ya defence ipo. Lakini kwa Tz na znz siioni.
To hell with this non profitable union.
Note. Sim yangu ina tatizo la letter 'u' so don't mind where it brings some confusions.