Mimi na nina hakika tupo wengi tu hatuutakki muungano lakini si kwa nia ya kutaka vyeo au madaraka kwa hiyo maneno yake hayo hayatuhusu. Anayewalenga yeye ni wale wanaotaka kuuvunja muungano kwa ajili ya vyeo na madaraka.
Halafu binadamu gani huyo "anayewaapiza" wenzake kwa ajili tu wametofautiana kimtazamo?
Kwa nini iwe Tanganyika tu!? Je Kuhusu wanaoiomba Z'bar yenye mamlaka kamili hakutoa tamko?
Nyerere hana jipya adhabu ya kaburi iwe juu yake.
Nyerere ndio katuachia haya maupupu tuliyo nayo ..hana jipya la kumkumbuka hapa
Kweli kuungana ni kuzuri,tufanyeje kama tulioungana nao hawaupendi huu muungano?dalili za wazi kabisa mzenj hampendi mbara