Ukisoma uzi zake zilizopita hana mwingine amayemponda kama Diamond Platnumz so ndie anayemsema....sijui imekuwaje ila ndio maana karusha uzi huu...kajifunza kutomtaja jina kumpa promo siku hizi...nadhani kumuona na Z wanaenda Zanzibar jana imemkologa. Ndio kaandika.
Yaani we bro sema wewe,mana kila tunachofanya ili haanguke yeye ndo kwanza anazidi kufanikiwa.Tumesema jamaa Freemason haijasaidia,tukawa tunatoa ofa kwa madogo wamuimbe haijazaa matunda,tukasema jamaa mchawi anatumia waganga na tukamuweka mganga wetu wakumuharibia nayo imedunda na kama haitoshi tukaamua sasa tuwe tunazomea kila show zake ndo kwanza anazidi kupata tuzo eti sasa ndo kawa NEMBO YA TAIFA wanazidi kutuumiza.mmh.sijui ndio matunda au matokeo ya uswahiba ila ki ukweli pale hakuna kipaji cha kutisha ni msanii wa kawaida sana kama msaga sumu, yetu macho ni hii ndio bongo bana. sijui baada ya uchaguzi huyu ndugu yetu atapata wapi swahiba mwingine.
hapa ni mti wenye matunda unapondwa mawe, ushawahi ona mtu anaponda muarobaini???Tusio wambea mnatutesa sana! eti Evelyn Salt nini kinazungumzwa hapa?
kiingilio kilikua sh ngapi make mi nkua bize kuangalia mimba ya zariHaaahaa yaani wewe lukelo sakafu mwaka huu usipokufa kwa kihoro sijui! Btw uliona show ya jana Zanzibar na unakumbuka kiingilio kilikuwa shingap?
kudaaadeki mi naiita hiyo SINDANO YA TRAKKOYaani we bro sema wewe,mana kila tunachofanya ili haanguke yeye ndo kwanza anazidi kufanikiwa.Tumesema jamaa Freemason haijasaidia,tukawa tunatoa ofa kwa madogo wamuimbe haijazaa matunda,tukasema jamaa mchawi anatumia waganga na tukamuweka mganga wetu wakumuharibia nayo imedunda na kama haitoshi tukaamua sasa tuwe tunazomea kila show zake ndo kwanza anazidi kupata tuzo eti sasa ndo kawa NEMBO YA TAIFA wanazidi kutuumiza.
kiingilio kilikua sh ngapi make mi nkua bize kuangalia mimba ya zari
aaah pouwa mwezi wa show huuElfu 50 kawaida na VIP laki moja.
kiingilio kilikua sh ngapi make mi nkua bize kuangalia mimba ya zari
hapa ni mti wenye matunda unapondwa mawe, ushawahi ona mtu anaponda muarobaini???
Unamzungumzia nani?..
Hv vilaza mtaondoka lini humu Jf patulie
na ile picha ya mimba inabusiwa uwiiiii unaezatafuna ukwajumawe nayo huchoka jamni, mawe yenyewe yameshaona huu mti wati wanauonea, khaaaa!!!??? kule IG ndio nimejikuta tena nawaonea huruma, manake sio kwa kuishiwa kule, hawana jipya tena, yule staring wao masta, nahisi hapo katikati presha ilimlaza, kuja kuzinduka akaja ni gia ya kurusha matangazo ya watu ya biashara, jpili alitoa offer ya kurushia watu matangazo yao bureeeee, I WAS LIKE WHAAAAT!!!???? this never the MBWAMASTA i used to know!!! nilipogundua kashaathirika, kesho yake akawachamba wale aliowarushia matangazo yao then hawakushukuru. nilichekaje, yaani sasa hivi kila akijaribu kuvuta hisia za kuwachamba dangote na mutoto muzuri Z anapata kizunguzungu.
naskia kashiba matoke hana mimbahahahahahaaa hii mimba si ni fake hii jamni, ila zari nae kanishinda wakati wenzake bado tupo kwenye analog kwa kufake mimba kwa ilee style ya kufunga matambala, yeye kaamua kumeza tikitiki maji.