Haya ndio top 5 ya ma-group yaliyopo kwenye simu za wanaume na wanawake.

Haya ndio top 5 ya ma-group yaliyopo kwenye simu za wanaume na wanawake.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
LADIES:
1: Dada's Urembo na style
2: Toto's group ujauzito hadi malezi
3: Msusi online matunzo na style za nywele
4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri
5: alex udaku 24hrs

WANAUME SASA😂😂
1: Buza wa buku buku
2: koneksheni pro max pisi kalii
3: Utamu pande zote
4: 18+ raha zote
5: Auto check magari na maintainance

SOURCE: Tomato Sauce

Moderator pliz edit heading iwe baadhi ya wanaume na wanawake
 
LADIES:
1: Dada's Urembo na style
2: Toto's group ujauzito hadi malezi
3: Msusi online matunzo na style za nywele
4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri
5: alex udaku 24hrs

WANAUME SASA😂😂
1: Buza wa buku buku
2: koneksheni pro max pisi kalii
3: Utamu pande zote
4: 18+ raha zote
5: Auto check magari na maintainance

SOURCE: Tomato Sauce
Whatsapp nipo kwenye magroup mawili tu. Moja la familia, moja la kubet
 
Usiseme wanaume na wanawake, sema Wewe na Mkeo, alafu upo hapa kutafuta mnaofanana.
"Usiseme wanaume na wanawake, sema Wewe na Mkeo, alafu upo hapa kutafuta mnaofanana"

4409e434c66532c3bd05afe14521c971.jpg
 
Back
Top Bottom