Whatsapp nipo kwenye magroup mawili tu. Moja la familia, moja la kubetLADIES:
1: Dada's Urembo na style
2: Toto's group ujauzito hadi malezi
3: Msusi online matunzo na style za nywele
4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri
5: alex udaku 24hrs
WANAUME SASA😂😂
1: Buza wa buku buku
2: koneksheni pro max pisi kalii
3: Utamu pande zote
4: 18+ raha zote
5: Auto check magari na maintainance
SOURCE: Tomato Sauce
Na skin care🤣Umeona eeh😁
🤣🤣Umesahau mishono ya vitambaa🤣
Skini care