Haya ndio top 5 ya ma-group yaliyopo kwenye simu za wanaume na wanawake.

Sina hata group moja kwenye kimeo changu
 
Haya mapya kwangu!
 
Mbona ya kubeti hayapo
 
Labda wanaume wa wako au unaokutana nao. Respectsble man wanaojiheshim wapo na huwakuti kwenye magoup ya kijinga.
Msipend ku generalize uhuni
 
Mkuu groups zangu ni hizi hapa
UKOO
FAMILY
KILIMO
UFUGAJI
UFUGAJI WA SAMAKI
UFUGAJI KUKU(YAPO3)
UFUGAJI MBUZI
MITI YA MATUNDA
LA DINI
mara kadhaa huwa naungwa ya harusi/send off
Huo uchafu(18+) niliwahi kujiunga mwaka2011 nilidumu siku2 tu nikawatukana wakana remove.Na lengo la kuwatukana ilikuwa wanitoe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…