Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni hoja ya msingui, lakini ina uhusiano gani na Muungano?........................................................................
Mi nadhani hujaelewa wancholalamikia hawa..ishu hapa sio kufeli kwani shule nyingi zimefeli hata huku bara...tatizo ni matokeo mengi kuwa with-held hata mimi napata kigugumizi kama wanafunzi walifanya mtihani 53 halafu yanatoka matokeo ya mtu mmoja..hapo ndipo nisipoelewa kabisa nna matokeo ya shule nyingi yamezuiliwa pia..
Haingii akilini kama shule hizi zote yafutwe matokeo wasimamizi wasihusike. Hii ni karata 3 za necta. ;lkn ,mwaka huu atajuta alichofanya
Inawezekana hata div 1 za seminary kutokana na mtihani Kuvuja. lkn kwa zipo BARA ngalichako ameacha tu. inawezekana ndio mkoa anaotoka. lkn Mapambano yameanza. asidhani wazenj watakaa kimya. tunaonga baraza la wawakilsihi.''Makeke ya Mamba mumaji hayamshtui Kiboko''. NECTA imefanya ilichotakiwa kufanya kwa mujibu wa sheria na kanuni za uundwaji wake.
Kama umekiri mitihani imevuja unalalamika nini?. Kaeni chini mjadili namna ya kuboresha viwango vya elimu ili wanafunzi wafaulu bila kutegemea wizi wa mitihani.
Mkifanikiwa hili Zanziba itakuwa na wasomi bora na ''nchi yenu ndani ya nchi'' itafaidika.
Kufaulu mitihani kwa wizi ni kujaza vihiyo ambao watakuwa hawana msaada kwa jamii badala yake watakuwa wanafikiria kukwiba kila kitu watakuwa wanawaza new EPA, Richmond..
kwani mtaala wa zenji na wa bara unafanana?Inawezekana hata div 1 za seminary kutokana na mtihani Kuvuja. lkn kwa zipo BARA ngalichako ameacha tu. inawezekana ndio mkoa anaotoka. lkn Mapambano yameanza. asidhani wazenj watakaa kimya. tunaonga baraza la wawakilsihi.
Kwani muungano ndiyo ulikaa darasani kufanya mitihani? Mmesahau kuwa kabla ya muungano mlikuwa mkifundishwa elimu ya kiarabu ili muwe watwana safi kwa waarabu waliokuja na kubaka na kuua ndugu zenu? Hapa tatizo si muungano na kama ni kufanya vibaya hata bara wamefanya vibaya. Wazanzibari wanachukia muungano kutokana na kutojiamini na kasumba za wengi kujiona ni waarabu kuliko waswahili. Nendeni uarabuni muone mnavyoitwa abdi au watumwa. Hakuna anayewang'ang'ania. Badala ya kulalamika uvunjeni muungano muone cha mtema kuni. Yaani mara hii mmesahau kuwa bara iko kwa ajili kuzaliana na kuneemeka kiasi cha wazanzibari wengi kuishi bara kuliko Zanzibar! Hata hao akina maalim Seif wanaowahadaa wanatumia muda mwingi bara kuliko Zanzibar.