Haya ndio yanayotufanya wazanzibar tuuchukie muungano

Hiyo ni hoja ya msingui, lakini ina uhusiano gani na Muungano?
 
Haingii akilini kama shule hizi zote yafutwe matokeo wasimamizi wasihusike. Hii ni karata 3 za necta. ;lkn ,mwaka huu atajuta alichofanya

''Makeke ya Mamba mumaji hayamshtui Kiboko''. NECTA imefanya ilichotakiwa kufanya kwa mujibu wa sheria na kanuni za uundwaji wake.
Kama umekiri mitihani imevuja unalalamika nini?. Kaeni chini mjadili namna ya kuboresha viwango vya elimu ili wanafunzi wafaulu bila kutegemea wizi wa mitihani.

Mkifanikiwa hili Zanziba itakuwa na wasomi bora na ''nchi yenu ndani ya nchi'' itafaidika.
Kufaulu mitihani kwa wizi ni kujaza vihiyo ambao watakuwa hawana msaada kwa jamii badala yake watakuwa wanafikiria kukwiba kila kitu watakuwa wanawaza new EPA, Richmond..
 
Inawezekana hata div 1 za seminary kutokana na mtihani Kuvuja. lkn kwa zipo BARA ngalichako ameacha tu. inawezekana ndio mkoa anaotoka. lkn Mapambano yameanza. asidhani wazenj watakaa kimya. tunaonga baraza la wawakilsihi.
 
kwani mtaala wa zenji na wa bara unafanana?
 
umesema vyema. Watakuelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…