Haya ndiyo asiyoyapenda kabisa Rais Magufuli kuyaona wala kuyasikia

Haya ndiyo asiyoyapenda kabisa Rais Magufuli kuyaona wala kuyasikia

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Ddqld3eVAAAoXoI.jpg
 
jpm hana effect yoyote huku kwe mpira, achukie hayo matokeo,apende asipende wala haisadii lolote kwe mpira
 
Kwa Neno hilo mzee? Ni wazi sasa Umeishiwa!, ujuaji wako wote kumbe kiboko yako ni mwenda wazimu? Kiwango chako Kiko chini , huiwezi hii kitu, Rudi kijijini ukalime Viazi..
 
Wapenda sifa, kujikweza ndiyo waliomrubuni JPM kujitokeza kwenye michezo ambako hana habari nako.

Ndo maana hata ya kutumia neno TUNDU akimaanisha GOLI, hayo matokeo mabovu hayawezi kukwepeka kama Serikali iko mbaaaali kwa maana ya uwekezaji michezo uwekezaji ni fedha nyingi.


Kwa mtizamo tu, serikali hii haiwezi thubutu hata kidogo.
 
"...tena nikaanza kujitahidi kuhudhuria mechi nikanunua na jezi, tatu. Wakasema eti mimi ndio tatizo nna mkosi, tatu, wakasema wahame uwanja wakachezee Zanzibar, tatu..tatizo ni wao sio mimi...tumejitahidi tukaleta na kocha mbrazili nafikiri kuna haja ya kuongeza jitihada kwenye eneo hili"
 
Hayo ni matokeo mazuri Sana, ni wastani wa tatu mzuka.😀😱😱
 
Back
Top Bottom