Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jpm ni mshambajpm hana effect yoyote huku kwe mpira, achukie hayo matokeo,apende asipende wala haisadii lolote kwe mpira
Kuchukia bila kufanya uwekezaji kwenye michezo, ni ulimbukeni tu.
Kichwa cha mwendawazimu
Nadhani wizara husika ndio inaumia zaidi... Wizara ya shonza
Ile 1.5t ingewekezwa huku hayo yasingetokea.Nadhani wizara husika ndio inaumia zaidi... Wizara ya shonza
Mkuu sio vizuri hivi ni vema tukaonesha heshima kwa kiongozi mkuu wa nchijpm ni mshamba
Ushamba ni aina ya sifa ya mtu, wala siyo tusi au dhihaka kama ambavyo umelichukuliaMkuu sio vizuri hivi ni vema tukaonesha heshima kwa kiongozi mkuu wa nchi
hata kama hatumpendi.