Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Sikuwahi kujua kabisa kuwa mlima Hanang ni mlima wa tatu kwa urefu hapa Tanzania mpaka niliposoma hii post hapa JF.
Wenyeji wa maeneo hayo wana kazi kubwa mnoo kuutangaza mlima huo, wasipojivunia nao hakuna wakuja kuutangaza.
Cha ajabu wengi wa vijana hawajahi kuupanda Hadi kileleni tofauti na kufuata mirungi mle.
 
Hayo si
Hayo sio majina ya kizungu, ni majina ya kisayansi (scientific names) ya hiyo mimea
 
Nimekwenda hapo ni sehemu nzuri, hapa duniani kuna pepo za kutembelea kama sehemu hiyo ili ukiikosa pepo ya mbinguni usijutie sana.

Hivi ni mlima upi wa tatu kwa urefu Tanzania kati ya huo na mlima Rungwe?
Mkuu uliendapo mwaka Gani pale?
Ni pazuri sana asee.

Nachojua Mimi mlima Hanang ni wa3 ukiwa na Mita 3417.
 
Mzungu aliyeona kuwa ameliona hilo ziwa NYANZA akiwa ni mwingereza wa Kwanza kuliona ndiye alilitunuku jina la malkia wa nchi yake wakati huo " VICTORIA".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…