Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #201
Ni hatari mkuu. Huwa nasikia hata milma Kilimanjaro aliyeugundua ni mzungu asee.Dah! Wazungu wanatuona maboya kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatari mkuu. Huwa nasikia hata milma Kilimanjaro aliyeugundua ni mzungu asee.Dah! Wazungu wanatuona maboya kweli
Mkuu sisi tulitumia masaa6 tu tulikuwa wengi ila wa3 ndo tulifika mapema zaidi. Hatukumzika hata kidogo sisi watatu Kwa kushuka hata masaa2 hayakuifka tukawa chini porini kilichofata nikuachuma mirungi tu ya kubeba.Mi nakumbuka nilianza kupanda huo mlima saa kumi na mbili kasoro alfajili nikafika kileleni saa saba mchana. Kimbembe ni kwenye kushuka sasa kuna mahali unakutana na steep slopes unaweza tamani ukae ushuke kwa kal.io mdogomdogo. Ila siku hizi wameweka camps unaweza kulala then unaendelea na safari next day
Kuna njia ya kutokea Katesh, Gendabi au Gitting unachagua mojawapo japo ya kutokea Katesh ndo famous