Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uhuni. Anzisha uzi..Nje ya Mada:
Wazazi ninawaasa jamani wazazi mnaotumia pombe kali keivant minyagi na mipombe mingine mibia mingano jamani wazazi chonde chonde wazazi pombe mnazokunywa msiwape watoto, kuna wazazi ni vichwa maji anataka familia yake yote wawe walevi wanywa pombe kwa hio anaanza kuwabugiza watoto pombe wakiwa watoto yaan mzazi unawanywesha watoto konyagi kweli?
Kweli mzazi watoto miaka 3-8 unapigisha nyagi kisa unataka nao waje kua wanywa pombe? Hii hapana kabisa, ipo hivi kuna mtoto hapa jirani anapitia changamoto ya kuugua kifua kisichoisha na usiku anapata tabu sana anapolala kifua kinambana vibaya mno pia ana tatizo la kukojoa, sasa ipo hivi huyu mtoto mzazi wake akiacha kumpigisha tungi hio hali inapungua hakojoi wala kifua hakibani ila kuna muda anaanza kumpigisha tungi sana sana konyagi chupa ndogo kubwa zimejaa kwenye fridge watoto kila wakifungua fridge wanazikuta na muda mwingine wanataka wanywe nae maana ananywea nyumbani sometimes kwa hio hali inakua mbaya mtoto analala kwa tabu sana unaweza kumhurumia kifua km kimepasuka eksozi anavyokoloma km kifua kimetoboka na anajikojolea mbaya zaidi ni mtoto wa miaka 8 tu, mzazi unamnyweshaji mtoto pombe kali? Mboni wazazi mnapenda kutesa watoto, mtoto na pombe kali wapi na wapi?
Huu ni ukatiri kwa watoto ningeomba Muheshimiwa Waziri na mamlaka zinazohusika na Watoto wajaribu kuwaasa wazazi wenye tabia km hizi waache mara moja kuna wazazi ni vichwa vibovu kabisa
Sijui unamaaanisha kilele kipi? Lkn kama ni kule juu ya mlima Hanang kunafikika vizuri, huu upande uliomomonyoka juzi kati ni ngumu kupanda mlima ila Kuna upande (jiina la kile kijiji sikumbuki) kunapandika vizuri slope ya kawaiidaMs R tutafika kileleni ? Wengi hawakufika kileleni ujue 😁
Oi Mzee mwenzangu Mpaji Mungu namuuliza Mwanao tutafika kileleni? 🤔🤔🤔
Mkuu sijui sana sababu ila upo ngorongoro nadhani kwasababu unaonekana sio mrefu kwa macho, maana unaanzia mbali kuupanda.Aah huu nimeona leo baafa ya kuingia mtandaoni.
Huu mlima upo wapi na una sifa zipi kwanini hausikiki sana kama milima mingine?
Kama kileleni kunafifika haina shida Mzee mwenzangu 🤣🤣🤣Sijui unamaaanisha kilele kipi? Lkn kama ni kule juu ya mlima Hanang kunafikika vizuri, huu upande uliomomonyoka juzi kati ni ngumu kupanda mlima ila Kuna upande (jiina la kile kijiji sikumbuki) kunapandika vizuri slope ya kawaiida
Ila kama ni kilele Cha kiunoni 😁aaaaaahh mi Huko sipo umri ushakimbia huuKama kileleni kunafifika haina shida Mzee mwenzangu 🤣🤣🤣
Yeye aligundua ziwa victoria, nyanza ilikuwepo tangu mwanzoSisi wasukuma ziwa tunaita Nyanza kwa hiyo tulilijua kabla hata hajafika yeye!
Mzee mwenzangu thread inaeleweka mambo ya Kiunoni .................. 🤣🤣🤣Ila kama ni kilele Cha kiunoni 😁aaaaaahh mi Huko sipo umri ushakimbia huu
Kabisa😅naisubiria kwa hamu hiyo siku hata nikiporomoka baba mchungaji yupo🤣🤣🤣🤣😅
Ohooo! hayo mambo ya vijana mi nishazeeka siwezi unganisha pakti juu Kwa juuMzee mwenzangu thread inaeleweka mambo ya Kiunoni .................. 🤣🤣🤣
Actually, ni wa nne kwa urefu TZ after Mount Kilimanjaro, Mount Meru, and Mount Loolmalasin.
Kuna documentary inazungumzia geology ya northern zone of TZ ukipata muda itafute nadhani ilikua YT. Milima yote mikubwa ipo huko na jinsi madini ya tanzanite yalivyokuwa formed when the tectonic plates shifted millions of years ago. Very interest
Acha tu pale kuna chumvi safi kabisa nyeupe kama theluji miaka ya 95 tulikuwa tuna nunua pale gunia kwa Tsh 600 tu,ukifika pale ndo utajua hii nchi imebarikiwa sana,wakenya walikuwa wanakuja kusomba kwa tones kupeleka kwaoMimi nilikuja nayo kama kg20 wenyeji wanauza 7000 tu Tena walisema nimepigwa nikayaleta nyumbani
Kwa uchache wake mkuuNikifa MkeWangu Asiolewe Hilo ziwa la magadi ni gidewar na huo mlima wetu una maajabu zaidi ya hayo.
تبارك الله أحسن الخالقين
Ahsantee sana ndg.Umefanya review nzuri, japo uandishi wako sio mzuri sana. Tunahitaji mada za namna hii.
Ule mlima ni mzuri sana Kwa mandhari yake mkuu. Hata ukienda shoot kule video yake itakuwa poa sana mingi alitengeneza akamaliza .Hongera sana, angalau Msukuma umetangaza kivutio, lakini wenyewe wa Iraq wanaona mrima wao ni kitu kidogo sana.
Ahsantee sana SI wote waliotoboa kwakweliHongera kufika kileleni.
Edit tuMm na swali ,Hilo kofia ulienda nalo au ulilikuta huko huko mlimani?
Ahsantee sanaHongera sana mkuu
Inajiotea tu Tena unakuta mti mkubwa sanaHivi inajiotea natural au wahuni wakipanda wanaacha mbegu huko?