Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Nje ya Mada:

Wazazi ninawaasa jamani wazazi mnaotumia pombe kali keivant minyagi na mipombe mingine mibia mingano jamani wazazi chonde chonde wazazi pombe mnazokunywa msiwape watoto, kuna wazazi ni vichwa maji anataka familia yake yote wawe walevi wanywa pombe kwa hio anaanza kuwabugiza watoto pombe wakiwa watoto yaan mzazi unawanywesha watoto konyagi kweli?

Kweli mzazi watoto miaka 3-8 unapigisha nyagi kisa unataka nao waje kua wanywa pombe? Hii hapana kabisa, ipo hivi kuna mtoto hapa jirani anapitia changamoto ya kuugua kifua kisichoisha na usiku anapata tabu sana anapolala kifua kinambana vibaya mno pia ana tatizo la kukojoa, sasa ipo hivi huyu mtoto mzazi wake akiacha kumpigisha tungi hio hali inapungua hakojoi wala kifua hakibani ila kuna muda anaanza kumpigisha tungi sana sana konyagi chupa ndogo kubwa zimejaa kwenye fridge watoto kila wakifungua fridge wanazikuta na muda mwingine wanataka wanywe nae maana ananywea nyumbani sometimes kwa hio hali inakua mbaya mtoto analala kwa tabu sana unaweza kumhurumia kifua km kimepasuka eksozi anavyokoloma km kifua kimetoboka na anajikojolea mbaya zaidi ni mtoto wa miaka 8 tu, mzazi unamnyweshaji mtoto pombe kali? Mboni wazazi mnapenda kutesa watoto, mtoto na pombe kali wapi na wapi?

Huu ni ukatiri kwa watoto ningeomba Muheshimiwa Waziri na mamlaka zinazohusika na Watoto wajaribu kuwaasa wazazi wenye tabia km hizi waache mara moja kuna wazazi ni vichwa vibovu kabisa
Acha uhuni. Anzisha uzi..
 
Ms R tutafika kileleni ? Wengi hawakufika kileleni ujue 😁
Oi Mzee mwenzangu Mpaji Mungu namuuliza Mwanao tutafika kileleni? 🤔🤔🤔
Sijui unamaaanisha kilele kipi? Lkn kama ni kule juu ya mlima Hanang kunafikika vizuri, huu upande uliomomonyoka juzi kati ni ngumu kupanda mlima ila Kuna upande (jiina la kile kijiji sikumbuki) kunapandika vizuri slope ya kawaiida
 
Sijui unamaaanisha kilele kipi? Lkn kama ni kule juu ya mlima Hanang kunafikika vizuri, huu upande uliomomonyoka juzi kati ni ngumu kupanda mlima ila Kuna upande (jiina la kile kijiji sikumbuki) kunapandika vizuri slope ya kawaiida
Kama kileleni kunafifika haina shida Mzee mwenzangu 🤣🤣🤣
 
Actually, ni wa nne kwa urefu TZ after Mount Kilimanjaro, Mount Meru, and Mount Loolmalasin.

Kuna documentary inazungumzia geology ya northern zone of TZ ukipata muda itafute nadhani ilikua YT. Milima yote mikubwa ipo huko na jinsi madini ya tanzanite yalivyokuwa formed when the tectonic plates shifted millions of years ago. Very interest

Mimi nilikuja nayo kama kg20 wenyeji wanauza 7000 tu Tena walisema nimepigwa nikayaleta nyumbani
Acha tu pale kuna chumvi safi kabisa nyeupe kama theluji miaka ya 95 tulikuwa tuna nunua pale gunia kwa Tsh 600 tu,ukifika pale ndo utajua hii nchi imebarikiwa sana,wakenya walikuwa wanakuja kusomba kwa tones kupeleka kwao
 
Back
Top Bottom