Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Swali langu, je hiyo mirungi imepandikizwa huko ama ni miti pori?
 
Sikuwahi kujua kabisa kuwa mlima Hanang ni mlima wa tatu kwa urefu hapa Tanzania mpaka niliposoma hii post hapa JF.
Wenyeji wa maeneo hayo wana kazi kubwa mnoo kuutangaza mlima huo, wasipojivunia nao hakuna wakuja kuutangaza.

Actually, ni wa nne kwa urefu TZ after Mount Kilimanjaro, Mount Meru, and Mount Loolmalasin.

Kuna documentary inazungumzia geology ya northern zone of TZ ukipata muda itafute nadhani ilikua YT. Milima yote mikubwa ipo huko na jinsi madini ya tanzanite yalivyokuwa formed when the tectonic plates shifted millions of years ago. Very interesting.
 
Lookmalasin ndio uko wapi?
 
ziwa chumvi balangida(gidewari) kunakipindi tulikuwa tunatoa magati hapo hadi ngorongoro crater kwa wanyama
 
Japo hairusiwi kukata mti au Jani ama kitu chochote mle hifadhini lakini manyokaa
Mmekatazwa
sisi tulichuma mirungi ya kututosha na kuanza kutafuna.
Lakini bado mkafanya mlichokatazwa
Kule juu Kuna miti fln ukiangalia kana kwamba imekauka lakini ukivunja katawi kadogo unagundua ule mti ni mbichi kabisa Cha ajabu hauna majani yoyote.
Wabongo bwana, yaani huwa hamuelewi kabisa.
Hii haina shida kabisa.
Nimei zoom hiyo miguu ili kuifananisha na ID yako, nimejiridhisha kuwa vinafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…