Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
OkHuu ni ujinga kujadili wanaume wenzenu regardless wana status gani ila kitendo cha wanaume wazima kugawana team flani ni ujinga Mkubwa
Hayo mambo tunaachia wanawake
Ha ha ha haNgoja raia waje apa..kuna watu watatoka povu balaa
well said mkuuNi rahisi sana sana kwa fan page za kiba kumpost diamond na kumtukana lkn sio rahisi kwa fan page za diamond kumpost kiba.
duuhMwanaume wa Dar ameamka asubuhi anajipinda kuandika thread ndeefu ya kumsifia mwanaume mwenzake.
Umefata nini celebrities forum?Kwa hiyo?wewe inakusaidia kitu gani?fanya mambo yako achana na vitu ambavyo havikuongezei kitu?kwani hizi team zinalipwa posho au mshahara kila mwisho wa mwezi?kama jibu ni ndiyo endelea na kama jibu lako ni hapana fuata mambo yako mkuu!stop wasting your precious time with "umbeya"
Mkuu macho yako yanaona vizuri?Siyo Tongwa ni Togwa nashukuru kwa kuandika booooonge la uzi na ww ni team mond ili kujifurahisha nafsi safi sisi tupo tunasubir shit nyingine kutoka kwa king hatubishan na watoto kiba nyimbo 1 tuzo laki tena bila kolabo no presha come down bro na subir sindano.
huu ushauri wa kutafuta kazi peleka jukwaa husikatafuteni hela muepukane na njaa kazi team fulani menzenu wanapata hela nyie kazi kutukanana kwa ajili ya wanaume wenzenu, fanyeni kazi acheni hizo team hazina msaada
Nashukuru kwa kunielewasawa me and i
Umesomeka
Kwa hyo celebrities forum ni umbeya?Umefata nini celebrities forum?
HahahahahhahahahahahaahaAah! kachapwe tu maana unaonekana hakuna fimbo ngeni kwako.Nani kakwambia maandishi yanapunguza nguvu za kiume?.....Mwanamke wa Simiyu?
Ni ukwel mtup mkuuNi utafiti ambao utashambuliwa kishabiki lakini una ukweli mwingi
ThibitishaUnafiki unakusumbua mtoa mada.
Hahaha duh CC. me and IAah! kachapwe tu maana unaonekana hakuna fimbo ngeni kwako.Nani kakwambia maandishi yanapunguza nguvu za kiume?.....Mwanamke wa Simiyu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] angetuma na picha ya hiyo ROY ROYCEHakuna gari duniani yenye jina hilo.
Halafu mbaya zaidi ni mwanaume,Kwa hiyo?wewe inakusaidia kitu gani?fanya mambo yako achana na vitu ambavyo havikuongezei kitu?kwani hizi team zinalipwa posho au mshahara kila mwisho wa mwezi?kama jibu ni ndiyo endelea na kama jibu lako ni hapana fuata mambo yako mkuu!stop wasting your precious time with "umbeya"