Haya ndiyo maajabu ya team kiba kwa diamond

Haya ndiyo maajabu ya team kiba kwa diamond

Huu ni ujinga kujadili wanaume wenzenu regardless wana status gani ila kitendo cha wanaume wazima kugawana team flani ni ujinga Mkubwa
Hayo mambo tunaachia wanawake
 
Kwa hiyo?wewe inakusaidia kitu gani?fanya mambo yako achana na vitu ambavyo havikuongezei kitu?kwani hizi team zinalipwa posho au mshahara kila mwisho wa mwezi?kama jibu ni ndiyo endelea na kama jibu lako ni hapana fuata mambo yako mkuu!stop wasting your precious time with "umbeya"
Umefata nini celebrities forum?
 
Siyo Tongwa ni Togwa nashukuru kwa kuandika booooonge la uzi na ww ni team mond ili kujifurahisha nafsi safi sisi tupo tunasubir shit nyingine kutoka kwa king hatubishan na watoto kiba nyimbo 1 tuzo laki tena bila kolabo no presha come down bro na subir sindano.
Mkuu macho yako yanaona vizuri?

Hapo imeandikwa tongwa kweli??
 
tafuteni hela muepukane na njaa kazi team fulani menzenu wanapata hela nyie kazi kutukanana kwa ajili ya wanaume wenzenu, fanyeni kazi acheni hizo team hazina msaada
 
tafuteni hela muepukane na njaa kazi team fulani menzenu wanapata hela nyie kazi kutukanana kwa ajili ya wanaume wenzenu, fanyeni kazi acheni hizo team hazina msaada
huu ushauri wa kutafuta kazi peleka jukwaa husika
 
Ni ukwel kabisa mi kinachonishangaza eti wimbo ukitoka wa wcb ndan ya masaa kadhaa wameushika wote afu cha kushangaza sasa wanaanza kuuchambua neno moja moja sasa mtu unabak unajiuliza sasa hizo chuk za nin na huku nyimbo zake mnazishika ndan ya mda mfup na mnaelewa tafsir za maneno yake kwa haraka zaid kuliko hata mashabik za mond
 
Aah! kachapwe tu maana unaonekana hakuna fimbo ngeni kwako.Nani kakwambia maandishi yanapunguza nguvu za kiume?.....Mwanamke wa Simiyu?
Hahaha duh CC. me and I

Mleta uzi kasahau timu kiba account zao za mitandao ya kijamii wanapost sana Diamond kuliko kiba.
 
Kwa hiyo?wewe inakusaidia kitu gani?fanya mambo yako achana na vitu ambavyo havikuongezei kitu?kwani hizi team zinalipwa posho au mshahara kila mwisho wa mwezi?kama jibu ni ndiyo endelea na kama jibu lako ni hapana fuata mambo yako mkuu!stop wasting your precious time with "umbeya"
Halafu mbaya zaidi ni mwanaume,
 
Back
Top Bottom