Haya ndiyo maajabu ya team kiba kwa diamond

Tambua kwanza matumizi ya maneno kama "bwabwa" hakumfanyi awe vyovyote vile unavyofikiria katika bichwa lako hivyo haina madhara,pia unasema huna muda na mwanaume wa hivyo kwani kuna mtu alikufuata si umekuja mwenyewe.Halafu tena kwa hiyo jamaa kuandika hayo unayoyaona umbea unaona amekuingilia kazi yako.Na mimi nasemaje......mchapwe tu kwani ndio hulka yenu watu kama nyie.Kama unaona kilichoandikwa ni pumba basi tambua wewe ni kuku!!
 
Hahaha duh CC. me and I

Mleta uzi kasahau timu kiba account zao za mitandao ya kijamii wanapost sana Diamond kuliko kiba.
Tena wao ndo wanaoongoza kumpost kiba kuliko huyo domo wao.. HV naye c naskia aliitwa na makonda??
 
Hahaaa utachapiwa ww tu maana mm wa kwangu anatekeleza majukumu yake ipasavo hapotezi muda kwenye umbea umbea kama huu wa kuwasifia wanaume wenzenu
 
Hahaaa utachapiwa ww tu maana mm wa kwangu anatekeleza majukumu yake ipasavo hapotezi muda kwenye umbea umbea kama huu wa kuwasifia wanaume wenzenu
Hahahaha dada embu acha utoto kumuhudumia hawara nayo ni majukumu ya kusifia.Bora tujadili mchezo wa drafti tu hakuna cha maana hapo.Huyo mtu wako muanzishie thread yake wakachangie wengine si hatumtambui.
 
Ukichunguza saana na ukiwauliza mashabiki wengi wa kiba na diamond kuhusu huo u team weng wao wana chuki za kiswahili tena hata mziki wenyewe sio wafuatiliaji wa kiundan kabisa (wafuata mkumbo)
 
duh

Mbona unanitusi sana?

kwani ulilazimishwa kuja kwenye uzi kuchangia?

Nenda basi majukwaa mengine humu celebrities forum hapakufai
 
duh

Mbona unanitusi sana?

kwani ulilazimishwa kuja kwenye uzi kuchangia?

Nenda basi majukwaa mengine humu celebrities forum hapakufai
kaka mbona upo kimya sana siku mbili tatu izi au swala la tunda ww ndo unalishughulikia vipi lakini nasikia kaachiwa pole sana kwa msala huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…