me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mm nimewaambia wakichapiwa wasilalamikeMwanaume wa Dar ameamka asubuhi anajipinda kuandika thread ndeefu ya kumsifia mwanaume mwenzake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mm nimewaambia wakichapiwa wasilalamikeMwanaume wa Dar ameamka asubuhi anajipinda kuandika thread ndeefu ya kumsifia mwanaume mwenzake.
Mkuu waambieHuu ni ujinga kujadili wanaume wenzenu regardless wana status gani ila kitendo cha wanaume wazima kugawana team flani ni ujinga Mkubwa
Hayo mambo tunaachia wanawake
Tambua kwanza matumizi ya maneno kama "bwabwa" hakumfanyi awe vyovyote vile unavyofikiria katika bichwa lako hivyo haina madhara,pia unasema huna muda na mwanaume wa hivyo kwani kuna mtu alikufuata si umekuja mwenyewe.Halafu tena kwa hiyo jamaa kuandika hayo unayoyaona umbea unaona amekuingilia kazi yako.Na mimi nasemaje......mchapwe tu kwani ndio hulka yenu watu kama nyie.Kama unaona kilichoandikwa ni pumba basi tambua wewe ni kuku!!Yaani wewe ndo bwabwa Kabisa umenielew kwanza comment yangu?? Au umekurupuka kucomment kwanza Mimi mwanaume anaepoteza muda kwenye umbea wa kipuuzi kama huu wa hizi team namuonaga sio riziki maana ndo kunakomfaa ...HV mwanaume rijali unaamua kuweka/kuchangia kwa Ku Sofia mwanaume mwenzio hadharani... Maajabu ya darsalama na mtachapiwa sana mwaka huu
Tena wao ndo wanaoongoza kumpost kiba kuliko huyo domo wao.. HV naye c naskia aliitwa na makonda??Hahaha duh CC. me and I
Mleta uzi kasahau timu kiba account zao za mitandao ya kijamii wanapost sana Diamond kuliko kiba.
Hahaaa utachapiwa ww tu maana mm wa kwangu anatekeleza majukumu yake ipasavo hapotezi muda kwenye umbea umbea kama huu wa kuwasifia wanaume wenzenuTambua kwanza matumizi ya maneno kama "bwabwa" hakumfanyi awe vyovyote vile unavyofikiria katika bichwa lako hivyo haina madhara,pia unasema huna muda na mwanaume wa hivyo kwani kuna mtu alikufuata si umekuja mwenyewe.Halafu tena kwa hiyo jamaa kuandika hayo unayoyaona umbea unaona amekuingilia kazi yako.Na mimi nasemaje......mchapwe tu kwani ndio hulka yenu watu kama nyie.Kama unaona kilichoandikwa ni pumba basi tambua wewe ni kuku!!
Hahahaha dada embu acha utoto kumuhudumia hawara nayo ni majukumu ya kusifia.Bora tujadili mchezo wa drafti tu hakuna cha maana hapo.Huyo mtu wako muanzishie thread yake wakachangie wengine si hatumtambui.Hahaaa utachapiwa ww tu maana mm wa kwangu anatekeleza majukumu yake ipasavo hapotezi muda kwenye umbea umbea kama huu wa kuwasifia wanaume wenzenu
duhYaani wewe ndo bwabwa Kabisa umenielew kwanza comment yangu?? Au umekurupuka kucomment kwanza Mimi mwanaume anaepoteza muda kwenye umbea wa kipuuzi kama huu wa hizi team namuonaga sio riziki maana ndo kunakomfaa ...HV mwanaume rijali unaamua kuweka/kuchangia kwa Ku Sofia mwanaume mwenzio hadharani... Maajabu ya darsalama na mtachapiwa sana mwaka huu
kaka mbona upo kimya sana siku mbili tatu izi au swala la tunda ww ndo unalishughulikia vipi lakini nasikia kaachiwa pole sana kwa msala huoduh
Mbona unanitusi sana?
kwani ulilazimishwa kuja kwenye uzi kuchangia?
Nenda basi majukwaa mengine humu celebrities forum hapakufai