GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Happines Mdoshi (15), mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Nyanza, Halmashauri ya Mji Geita, ameshindwa kufanya mitihani ya Pre- Mock, baada ya kumwagiwa maji ya moto eneo la mgogoni na makalioni na mtoto mwenzie kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.
Chanzo: EastAfrikaRadio
Hakuna Upuuzi na Ushamba nisioupenda kama huu na kuna Siku katika Birthday zangu zijazo naweza Kumfanya Mtu kuwa ndiyo 'Punching Bag' yangu hasa kwa haya Mafunzo yangu ya Ubondia ambayo nimeyaanza nikiwa naitafuta Miaka 60 yangu tokea Nizaliwe.