GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hata wao wanaona umeiadhimisha kwa namna ya kipumbavuMimi sijawahi kusheherekea Birthday kwa namna hizo za kipumbavu kabisa. Na utakuta ni watu wazima wanafanya huo ujuha.
Huwa naadhimisha siku yangu ya kuzaliwa kwa kuingia chumbani au kanisani na kumshukuru Mungu, natoa sadaka na kula na kunywa vizuri kimyakimya na familia.
Na haya Mazoezi yangu ya Ubondia ninayoyafanya sasa chini ya Mwalimu wake Bondia Antony Joshua simshauri Mpumbavu ( Popoma ) yoyote yule katika Birthday yangu ya Mwakani ( 2023 ) aje animwagie Maji kwani nitaamka na 'Upper Cut' moja ya maana ambayo nina uhakika breki yake ya Kwanza ama itakuwa ICU Muhimbili au Wadi Namba 26 ( Mochwari ) ya Muhimbili Hospital.Sijawahi kuelewa huonupuuzi was kumwagiana maji na kuchafuana na matope
[emoji23][emoji23]looo!Hata wao wanaona umeiadhimisha kwa namna ya kipumbavu
Waone tuu. Mimi siku hiyo ya kuongeza mwaka mwingine naona kufanya ibada au kumshukuru Mungu ni muhimu zaidi.Hata wao wanaona umeiadhimisha kwa namna ya kipumbavu
Mimi sijawah kabisaa kusherehekea kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa.Hata siikumbukagi kwanza mpaka inapita ndio nakuja kushtukaMimi sijawahi kusheherekea Birthday kwa namna hizo za kipumbavu kabisa. Na utakuta ni watu wazima wanafanya huo ujuha.
Huwa naadhimisha siku yangu ya kuzaliwa kwa kuingia chumbani au kanisani na kumshukuru Mungu, natoa sadaka na kula na kunywa vizuri kimyakimya na familia.
Ina maana hua unafanya birthday na ww!!Happines Mdoshi (15), mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Nyanza, Halmashauri ya Mji Geita, ameshindwa kufanya mitihani ya Pre- Mock, baada ya kumwagiwa maji ya moto eneo la mgogoni na makalioni na mtoto mwenzie kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.
Chanzo: EastAfrikaRadio
Hakuna Upuuzi na Ushamba nisioupenda kama huu na kuna Siku katika Birthday zangu zijazo naweza Kumfanya Mtu kuwa ndiyo 'Punching Bag' yangu hasa kwa haya Mafunzo yangu ya Ubondia ambayo nimeyaanza nikiwa naitafuta Miaka 60 yangu tokea Nizaliwe.
⁶th sense...... tuonane bro.Happines Mdoshi (15), mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Nyanza, Halmashauri ya Mji Geita, ameshindwa kufanya mitihani ya Pre- Mock, baada ya kumwagiwa maji ya moto eneo la mgogoni na makalioni na mtoto mwenzie kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.
Chanzo: EastAfrikaRadio
Hakuna Upuuzi na Ushamba nisioupenda kama huu na kuna Siku katika Birthday zangu zijazo naweza Kumfanya Mtu kuwa ndiyo 'Punching Bag' yangu hasa kwa haya Mafunzo yangu ya Ubondia ambayo nimeyaanza nikiwa naitafuta Miaka 60 yangu tokea Nizaliwe.
Uko kama mm huwa sina huo utaratibu... Ila kuna majinga siku hiz wameanza kuomba hela za kekiMimi sijawah kabisaa kusherehekea kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa.Hata siikumbukagi kwanza mpaka inapita ndio nakuja kushtuka
Ukiona hivyo ujue ushakuwa maturedMimi sijawah kabisaa kusherehekea kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa.Hata siikumbukagi kwanza mpaka inapita ndio nakuja kushtuka
Hao ma teenagers washakuwa affected na western culture plus social networks ndio balaaUko kama mm huwa sina huo utaratibu... Ila kuna makinga sikh hiz wameanza kuomba hela za keki
Ila Wasukuma bwana, basi tu Mungu anawaona😱Happines Mdoshi (15), mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Nyanza, Halmashauri ya Mji Geita, ameshindwa kufanya mitihani ya Pre- Mock, baada ya kumwagiwa maji ya moto eneo la mgogoni na makalioni na mtoto mwenzie kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.
Chanzo: EastAfrikaRadio
Hakuna Upuuzi na Ushamba nisioupenda kama huu na kuna Siku katika Birthday zangu zijazo naweza Kumfanya Mtu kuwa ndiyo 'Punching Bag' yangu hasa kwa haya Mafunzo yangu ya Ubondia ambayo nimeyaanza nikiwa naitafuta Miaka 60 yangu tokea Nizaliwe.
Sasa wewe ulikuwa unamuona mjanja huyo?Ina maana hua unafanya birthday na ww!!
Mjanja pekee duniani ni yule akukazae tu.Sasa wewe ulikuwa unamuona mjanja huyo?