Baada ya kama siku mbili kupita ndo nagundua kumbe juzi ilikua birthday yangu, kiufupi kichwa changu kimejaa mambo kibao sana ya kufikiri mpaka nakosa muda kukumbuka mambo ya birthday
Mi ni Voda tu wananitumia meseji ya kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa ndo nakumbuka baada ya hapo mpaka mwakani tena wasiponikunbusha huwa sijui kinachoendelea