Haya ndiyo madhara ya kuingia na matokeo mfukoni,Hajji Manara uzalendo umemshinda ameamua kumwaga mboga

Hajji kawaponda wachezaji wa Simba. Cha kushangaza, wanaopiga mayowe, ni mashabiki wa Yanga. Imekaaje hiyo?
 
Mkuu mwangalingimungu ahsante kwa uchambuzi wako ILA nashauri kama unaweza ugawe uchambuzi wako katika paragraph 3 au 4.

Ahsante
 
Haji ni mpumbavu na hana akili. Hao wachezaji wa simba si anaonana nao almost kila siku. Kulikuwa na sababu ya kuandika ujumbe kwa wachezaji wa Simba na kuuandika kwenye social media ? Only in Tanzania.
"A leader says WE, not you or I". Amefeli sana kwa kuwayooshea vidole wachezaji.
 
nafikili siku nyingine watakua wapole kwa sababu tambo zao zimeshawagharimu mara nyingi sana lakini bado tu hawajifunzi uungwana.
 
Simba wanajitahidi kwenda professional lkn sijui kwnn hawaoni kma manara ni ttzo hivi dunia ya mpira wa kisasa sasa bado tunahitaji watu kma Manara na Nugaz, mbona huko duniani hakuna watu kma hao? sijawah ona mpiga kelele wa TP mazembe, Mamelody,Wydad , PSG, Man city, hata FC Porto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo wa Beno kupata nafasi

Beno hawezi kupata nafasi, kuna jambo litatokea na kumfanya apotee kimpira...Hakuna mchezaji aliyewahi kutoka Yanga na kwenda Simba na akabaki salama...Niyonzima amejirudi amejutia makosa yake, na aerejea nyumbani kama ilivyokuwa kwa Mohammed Hussein, Lunyamila, Kizota na Omari Hussein...Gadiel naye atarejea mwakani....Ajib atabaki Simba....Beno akiomba kurejea Yanga hawezi kukubaliwa
 
Beno hawezi kupata nafasi, kuna jambo litatokea na kumfanya apotee kimpira...Hakuna mchezaji aliyewahi kutoka Yanga na kwenda Simba na akabaki salama...Niyonzima amejirudi amejutia makosa yake, na amerejea nyumbani kama ilivyokuwa kwa Mohammed Hussein, Lunyamila, Kizota na Omari Hussein...Gadiel naye atarejea mwakani....Ajib atabaki Simba....Beno akiomba kurejea Yanga hawezi kukubaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…