Haya ndiyo Maendeleo (Picha)

this country is f***** up..
its all i can say...no body is doing nothing at all.
serikali imejaa ushkaji sana hence no accountability.
 
Last edited by a moderator:
Uwajibikaji na uwajiubishanaji hakuna, na hakuna anyejali, wananchi bado tumelala fofofo!
 
maendeleo yapo,we ulishaona wapi tv inawekwa kama warning signal
 
hakuna wa kufuatilia. jiji ambalo lilitakiwa lijiendeshe kitaalmu,linaendeshwa kisiasa. hakuna kuwajibishana, wala hakuna aliye responsible.
 
Hivi naomba niwaulize, who cares for that daladala road. Hivi mtu utapitia hiyo barabara unaenda wapi? LOL

FP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…