Haya ndiyo Maendeleo (Picha)

Haya ndiyo Maendeleo (Picha)

34ispr9.jpg



Picha: hisani ya www.thisday.co.tz

....Wenye wivu na wajinyonge!!!


......................................
picha nyingi humu naona hazionekani sijui vipi...
 
this country is f***** up..
its all i can say...no body is doing nothing at all.
serikali imejaa ushkaji sana hence no accountability.
 
Last edited by a moderator:
Uwajibikaji na uwajiubishanaji hakuna, na hakuna anyejali, wananchi bado tumelala fofofo!
 
maendeleo yapo,we ulishaona wapi tv inawekwa kama warning signal
 
hakuna wa kufuatilia. jiji ambalo lilitakiwa lijiendeshe kitaalmu,linaendeshwa kisiasa. hakuna kuwajibishana, wala hakuna aliye responsible.
 
Hivi naomba niwaulize, who cares for that daladala road. Hivi mtu utapitia hiyo barabara unaenda wapi? LOL

FP
 
Back
Top Bottom