Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
😀Ngabu afadhali wewe useme, mimi nimesema, Kibunango akajibu hivi:
Nimekuvulia kofia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Ngabu afadhali wewe useme, mimi nimesema, Kibunango akajibu hivi:
😀
Nimekuvulia kofia...
No mkulu rudisha kofia yako uendeleze debate!
Mchango wako unahitajika sana kwenye mambo ya fani yako kama haya.
hilarious!!
![]()
the same shimo la maendeleo
Fani yake ni nini...mashimo ya barabarani?
Kamanda hii ni fani, Shimo kama lile hatua ya kwanza kabla ya kufanya chochote ni kuweka tahadhali.
Mkuu uliyesema kuwa hii ni photoshop nakushauli urudi kwenu tanzania kwani alichoweka MKJ ni kidogo sana kulinganisha na matatizo yaliyomo kwenye barabara za dar es salaam.
Nzokanhyilu,
Picha si za ku 'cut and paste; they are real'. Achana na hilo benzi kuwa na CD ante; si ajabu kwani yako meengi mno hapa Dar makubwa kuliko hilo. Nenda Luther House Parking Lot ushangae magari yenye maneno nyuma yasemayo "YESU NAMALA" ndipo utaelewa kuwa Tz magari ya kifahari ni mengi.
......ndio hali halisi jamani! serikali haina fwedha. mwee, hilo shimo utafikiri upo Baghdad.
Ngabu, hili ni swali zuri sana. Nitakurudisha kwenye post ya Kibunango ambayo mwenyewe iliyosema hivi:
Hata hivyo, kamanda alitoa shule nzuri sana kwenye ile thread ya uchafu na bado nakumbuka ile shule yake toka huko. Ninamtoa tu kwenye spinning ili arudi tu kwenye fani maana inaonekana anatoa vitu bomba akiacha kusoma talking points za kingunge.
Kwa hiyo fani yake ni kuzoa taka?
nzoka... kati ya majengo mazuri na yanayopendeza hapo nyuma na tatizo la maji nini watu wawekee kipaumbele...
Katika zile ajila 1m za Mhe. JK nilitegemea kuwa taka itakuwa ni moja wapo..Kwa hiyo fani yake ni kuzoa taka?
Mimi nadhani waunde tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha mashimoz kwenye barabara zetu. Tume hiyo ipewe miezi sita kukamilisha kazi yake na kuja na mapendekezo yake ya jinsi ya kuhakikisha barabara zetu hazina mahandaki ya namna hiyo. Wajumbe wa tume hiyo wapewe uwezo pia wa kwenda nchi nyingine kujifunza wao wanafanya nini kunapotokea mashimo kama hayo hasa baada ya kuonekana katika baadhi ya sehemu zenye mashimoz nchini zinatumika kupanda miti ya vivuli.
Lazima tume hiyo ifikiri kwa kina kwanini barabara nyingi zinaharika kiurahisi na wanaweza kuomba utaalamu kutoka nchi zilizoendelea ili kufikiria mbinu na mkakati wa kuboresha barabara hizo ili siwe zinaharibika mapema na kuhitaji matengenezo karibu kila mwaka.
![]()
Hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa Kupindukapinduka popularly known as kipindu pindu.. je kuna uhusianno wowote na magari ya kifahari na majengo makubwa ya vioo vioo?
Katika zile ajila 1m za Mhe. JK nilitegemea kuwa taka itakuwa ni moja wapo..
Taka ni mali