Haya ndiyo mafanikio ya wasemaji kati ya Ali kamwe na Ahmed ally

Ndani ya misimu miwili tangu waajiriwe kuwa wasemaji wa klabu za Yanga na Simba.

๐—”๐—น๐—น๐˜† ๐—ž๐—ฎ๐—บ๐˜„๐—ฒ ๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ฆ๐—–

โ—‰ Ubingwa ligi kuu โ€” [emoji471][emoji471]
โ—‰ Ubingwa (FA) โ€” [emoji471][emoji471]
โ—‰ Ubingwa ngao ya jamii โ€” [emoji2924]
โ—‰ Fainali CAF-CC โ€” [emoji1627]
โ—‰ Robo fainali CAF-CL โ€” [emoji1626]
โ—Ž ____________________
โ—Ž _________________

๐—”๐—ต๐—บ๐—ฒ๐—ฑ ๐—”๐—น๐—น๐˜† ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ฆ๐—–

โ—‰ Robo fainali CAF-CL โ€” x2
โ—‰ WhatsApp Channel
โ—‰ Kibegi
โ—Ž ______________________

Tom cruzView attachment 2960521
Kwa kweli Watanzania wana matatizo ya uelewa na akili, hivi tangia lini wasemaji wakawa na mafanikio ya timu? Kuna msemaji yeyote anayefanya timu iwe na mafanikio uwanjani au nini kazi ya msemaji wa timu? Hawa ndiyo wanaomuona Manara kuwa Mungu wao na ndiyo maana anawachezea akili kila kukicha. Fucking useless.
 
Kumbe wasemaji wanacheza watanzania ujinga umejaa na unamwagika ,hauwezi kukuta ujinga huu kwenye nchi zinazopatikana dunia ya kwanza .
 
Wasemaji wanamchango mkubwa kwenye hamasa Kwa wachezaji..... that's y najiona ni genius wa Michezo humu[emoji23]
 
Makasiriko mpelekee mashujaa [emoji23]
 
Wasemaji wanamchango mkubwa kwenye hamasa Kwa wachezaji..... that's y najiona ni genius wa Michezo humu[emoji23]
Du haya mkuu msemaji wa ahly wenye makombe 11 ya africa ni nani?na msemaji wa Tp Mazembe wenye makombe 5 ya africa na shirikisho 2 ni nani ? Msemaji wa experence du tunis wenye makombe 4 ya africa ni nani? Tusipojifunza kwa hawa hatuwezi kufika walipo.
 
Wapo mkuu
 
Back
Top Bottom