Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
Habari wana jf haya ndio magari yangu mawili nnayo yapenda na ninatamaninkuyamiliki pale nitakapotembelewa na pesa. Magari hayo ni kama nilivyoweka picha zake hapo chini pamoja na bei zake za ku import pamoja a clearing hapo Dar port pamoja na Tra Tax kama inavyojieleza hapo chini kama utakuwa na mchango wowote karibu hapo chini uchangie