Haya ndiyo magari natamani kuyamiliki nikishika pesa nzuri

Haya ndiyo magari natamani kuyamiliki nikishika pesa nzuri

Habari wana jf haya ndio magari yangu mawili nnayo yapenda na ninatamaninkuyamiliki pale nitakapotembelewa na pesa. Magari hayo ni kama nilivyoweka picha zake hapo chini pamoja na bei zake za ku import pamoja a clearing hapo Dar port pamoja na Tra Tax kama inavyojieleza hapo chini kama utakuwa na mchango wowote karibu hapo chini uchangieView attachment 791631View attachment 791632View attachment 791633View attachment 791634View attachment 791637View attachment 791638View attachment 791639View attachment 791640
Nina mitazano miwili tofauti kwenye hii post yako
1. Hii post imekaa kama tangazo la biashara... Ama niseme ni tangazo kamili la biashara kwa maana ya contents zake
2. Hiki unachoita pesa ndefu, halafu unaweka picha za magari ambayo hayazidi USD 5000 ni kujiundia umaskini na limitations zisizo na sababu... Kumbuka perception creates reality!
. Hizo gari zote kwanza ni kuukuu (used)
. Ni old fasheni
. haziwezi na sio rafiki wa rough roads
. huko inakotoka tayari iko kwenye kundi la rejects
Pamoja na kwamba pengine hupendi makuu lakini usijishushe kiasi hicho...

Yangu ni hayo tu.. Asante
 
mi saiz nauza opa yangu maana wese mikoani limefika 2450/= nataka gari ya 650cc ili kupunguza stress za barabarani
 
gari milioni 2,ushuru 5m, au mimi ndio sijaelewa?


Huo mshangao wako ndio hasa lengo la mtoa mada.
Anashangaa gharama za ushuru ni mara mbili au tatu zaidi ya gharama ya ununuzi.


Yaani tuishangae idara yetu ya mapato inavyotuibia waziwazi.
Lakini baadhi ya wachangiaji wanamponda .
Si mbaya sababu kila mtu na tafsiri zake tifauti.
 
Kabla sijafungua uzi gari lililonijia akilini ni kama sio Mercedes gle coupe, au X6 au tourage mpya basi ni Audi Q8.
Kumbe bado unawaza kihenga henga.
 
Back
Top Bottom