Kila mtu na choice yake...kibongobongo si ajabu mtu kuwa na dream ya kuendesha magari hayo sababu hata barabarani magari mengi yaliyojaa ni ya zamani sasa mnaomshangaa mnadhani exposure ya magari makali anaitoa wapi ilhali magari mengi yanayomzunguka na anayoyaona ni ya zamani?