Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah! Sihuyu mndali ndio kafufua tenaHahahaaa. Nilishakimbia rafiki. Lol.
Hahah!!
Umenikumbusha kuna mtu aliniambia hili jina anahisi kama jina halina ushirikiano
Hilo la bujibuji mbona liko fresh tuuRoboti la matope
Bujibuji
Mchepuko wa mkulu
Mende msafi
Barafu ya moto
Hahahaaa. Na tumefufuka kweli. Lol.Hahah! Sihuyu mndali ndio kafufua tena
Hahah!!
Leo nimechelewa kuingia kwa mtandao ndo nimekuta maadaHahah! Sihuyu mndali ndio kafufua tena
Hahah!!
Atakufundisha au atatufundisha? Kwanini atutenge wengine wakati na sisi tunapata shida na hilo jina
Si anajua mie nipo rafiki nitakufundisha ndio maana. [emoji12] [emoji12]Atakufundisha au atatufundisha? Kwanini atutenge wengine wakati na sisi tunapata shida na hilo jina
hahha mie simooTumefufuliwa na Mndali. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaaaa. Haumo wapi wakati unachangia mdogo wangu.hahha mie simoo
Usijali nawe nitakufundishaAtakufundisha au atatufundisha? Kwanini atutenge wengine wakati na sisi tunapata shida na hilo jina
Mie pia naona hivyo ujue. HahaaaaUmenikumbusha kuna mtu aliniambia hili jina anahisi kama jina halina ushirikiano