Haya Ndiyo Makobazi

Che..mwehu tu.
Chuk iliyo kifuan mwake kubwa kushinda anayoidhirisha. Lakin hatafuzu maaan wallipita wenye nguvu waliokuwa na chuki kushinda yeye ila leo wapo museums huko wamehifadhiwa...aende Cairo akaone
Mi sina chuki yoyote na Imani yoyote kwakuwa nimezikuta na nitaziacha na sihusiki kwa kuwepo kwazo.

Usichukulie malumbano ya imani na uhalisia wa mtu.

Nadhani ushawahi kuhudhuria mihadhara ya Dini kama una Roho ndogo unaweza kupigana.

Lakini sisi wazoefu baada ya misuguano ktk mihadhara ya imani tuna kaa pamoja na kunywa chai pamoja na tabasamu tele bila kubaguana kidini.

Tatizo moja la Dini, ukiuliza maswali magumu kwa watu dhaifu unaonekana una chuki binafsi dhidi ya dini husika.

Mfano, kitendo cha nyie wenzetu kuto kuzijibu hoja za Salman na badala yake kumhukumu kifo ni cha kidhaifu sana.

Ama mngemjibu au mngempuuzia tu, hoja zake zingekufa kifo cha mende kwakuwa hazina mashiko.

Wewe jibu swali ulilo ulizwa kama huna jibu sema sina mwenye uelewa atajibu.
Mtu anayeogopa kuulizwa maswali magumu ni dhaifu wa imani.

Mimi maswali yote ninayo uliza katika jukwa la dini naambatanisha na andiko lake.
fuatilia hoja zangu.
 
Che...
Usihukumu kuwa kama kadha wa kadha ni udhaifu.

Inataka kwanza ujue mafundisho ya Uislam ili ukimuona anakwepa mabishano ya uelewe kwa nini anafanya hivyo.

Uislam unafundisha kuwa usimtukanie mwenzako mungu wake asije na yeye akamtukana Mungu wa kweli.

Uislam unafundisha kuwa unapoona Allah anafanyiwa kejeli ondoka mahali hapo.
Suleiman Rushdie alimtukana Mtume SAW na hukumu yake ikatoka kuwa auawe.

Naelewa kwa nini wewe unaita huo ni ''udhaifu'' kwa kuwa hujui kiwango cha heshima ambayo Waislam wanayo kwa Allah na Mtume Wake.

Kipindi cha sakata la Suleiman Rushdie nilikkuwa kijana mdogo Uingereza na nimeona jinsi watu wengi Ulaya walivyokuwa hawathamini utukufu wa Mwenyezi Mungu na Mitume yake nk.

Walitengezeza filamu kumuonyesha Yesu ni shoga.
Hicho ndicho kiwango chao cha ujinga.

Mimi nimekujibu ili labda utafakari na uthamini na kuheshimu.

Lakini kwa ufupi nimgetaka sana kuwa kimya yaani kujiweka mbali na yeyote yule anaedhani Allah au Mtume yeyote pamoja na Yesu Kristi wanaweza kufanyiwa maskhara.

Baada ya kusema haya nitakuwa kimya katika mjadala huu.
Nakaa mbali kama Uislam unavyofundisha.
 
Asante sana kwa majibu Mujarabu kabisa. Mzee wetu.

Sasa angalia hapo padogo tu.
Kuna watu walitengeneza filamu ya Yesu kumwonesha kama alikuwa Shoga.

Wengine walitengeneza Injiri ya Bandia ya Barnaba kwa lengo la kuikashifu imani fulani kuwa Injiri yao ni feki.

Sasa angalia wenye Imani walivyotulia tuli kabisa na kupuuzia filamu hizo na zimekufa kwa kupoteza thamani na mvuto.

Samahani kidogo.
Hivi kungetokea mtu katengeneza Filamu ya kuonyesha kuwa Mtume alikuwa Shoga, kama inavyo fanyika kwa Yesu, huoni Mzee wangu kuwa kungeamsha jazba kali sana na ambazo zingeleta madhara makubwa kwa jamii husika. na wahusika wangesha tangaziwa Fatwa ili wakatwe vichwa ?

Basi Mzee tuachie tu hapo.

Kwenye imani kunatakiwa moyo wa uhimilivu sana kwakuwa Binadamu wote hatulingani.
Mwingine akiulizwa tu swali asilolipenda anasema umekashifu dini, na anachukua hatua ngumu sana hata ya kuweza kumtoa mtu roho yake.
Kuna kitu baadhi ya watu hawakiwezi kabisa kitu kinachoitwa
Religion Tolerance.
Thank you Sir, nitazingatia ushauri wako. [emoji120][emoji120][emoji120]
 

Yako makobazi ya mbao hebu yaweke hapa !! Unayakumbuka ? Mi sina picha yake lakini in the seventies wazee wetu walivaa hasa waarabu masalia ya wafanya biashara ya utumwa !
 
Che...
Ninayo majibu lakini staha inanikataza kukujibu hivyo kwani nami nitakuwa natukana.

Ukitumia akili yako kidogo tu utafahamu.
yupo mtu mmoja humu jukwaani. yeye hunishambulia kila uchao kwamba mm ni mfia dini na mvaa makobazi
japo sio haramu kuvaa makobazi wengi wanavaa japo sio wa imani hiyo. wengi wanachukulia wavaa makobazi kwamba ni watu duni, waso na elimu na hohehahe.
ninachojifunza toka kwa kijana yule anayejiita countrywide ni kwamba ama hajui, anafanya makusudi au haelewi.
sitakaa nimjibu, wanajiita taifa la amani huku wanabagua watu
 
Kinoa...
Kukaa kimya pia ni jibu.
Unafanya vyema kumnyamazia.
 
Kinoa...
Kukaa kimya pia ni jibu.
Unafanya vyema kumnyamazia.
namshukuru mungu kwamba nilifunzwa hivyo. pia namshukuru mungu kwa kuishi na watu wa aina tofauti. leo najua wengi wanakuchukulia mzee mohamedi said kama mfia dini siyo dhambi. wasichokijua ni kwamba unayoyaandika mengi hayajaandikwa kwenye vitabu. ni shule ni darasa.
mm nimejifunza mambo mengi sana kutoka kwa marehemu padri privatus karugendo, maandiko yake nilikuwa nayasoma maandiko yake bila kuangalia aliyeandika ninani la hasha nilisoma maudhui siyo imani ya mtu
hawa vijana wa leo hawajui kutenganisha imani ya mtu na maudhui yake kwenye maandiko yake.
kama mzee mohamed alizaliwa na kukulia mzizima walitaka ukaandike historia ya karagwe?
 
Sahihi
 
Wewe ni FALA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…