Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Mi sina chuki yoyote na Imani yoyote kwakuwa nimezikuta na nitaziacha na sihusiki kwa kuwepo kwazo.Che..mwehu tu.
Chuk iliyo kifuan mwake kubwa kushinda anayoidhirisha. Lakin hatafuzu maaan wallipita wenye nguvu waliokuwa na chuki kushinda yeye ila leo wapo museums huko wamehifadhiwa...aende Cairo akaone
Usichukulie malumbano ya imani na uhalisia wa mtu.
Nadhani ushawahi kuhudhuria mihadhara ya Dini kama una Roho ndogo unaweza kupigana.
Lakini sisi wazoefu baada ya misuguano ktk mihadhara ya imani tuna kaa pamoja na kunywa chai pamoja na tabasamu tele bila kubaguana kidini.
Tatizo moja la Dini, ukiuliza maswali magumu kwa watu dhaifu unaonekana una chuki binafsi dhidi ya dini husika.
Mfano, kitendo cha nyie wenzetu kuto kuzijibu hoja za Salman na badala yake kumhukumu kifo ni cha kidhaifu sana.
Ama mngemjibu au mngempuuzia tu, hoja zake zingekufa kifo cha mende kwakuwa hazina mashiko.
Wewe jibu swali ulilo ulizwa kama huna jibu sema sina mwenye uelewa atajibu.
Mtu anayeogopa kuulizwa maswali magumu ni dhaifu wa imani.
Mimi maswali yote ninayo uliza katika jukwa la dini naambatanisha na andiko lake.
fuatilia hoja zangu.