Haya ndiyo maneno ya Flora Mbasha kwa mumewe

Ama kweli wewe ni lawyer. Hujui hata lawyer/client privilege kwamba hutakiwi kusema ulichoambiwa na client wako huku kukiwepo na risk ya kwamba inaweza kutumika kwenye case ikibidi.

Kaongea nin hapo unachoweza kuenda nacho shaurin?
 
Mmmmmmmhh kumbe ni kwl ndoa yao ina misuko2 nina rafiki yangu mtangazaji wa radio wapo aliwasimamia ndoa yao alishaniambia mara nyingi sana kuwa ndoa yao ina mtafaruku...any way move on frola ila hakuna couple niliyokuwa naipenda kama yenu!!so sad

Wewe Anna Mwakaringa naona hilo boksi lililo juu ya mabegayako halina busara hata kidogo...."umetaja kuwa mtangazaji wa wapo aliosimamia ndoa yao" amekuuzia hizo nyeti...huoni kuwa unam-expose mwenzako??
 
Wewe Anna Mwakaringa naona hilo boksi lililo juu ya mabegayako halina busara hata kidogo...."umetaja kuwa mtangazaji wa wapo aliosimamia ndoa yao" amekuuzia hizo nyeti...huoni kuwa unam-expose mwenzako??


Sijamtaja jina lake lkn best!!! Dah ishakuwa kesi hii mungu Wangu!!
 
Sijamtaja jina lake lkn best!!! Dah ishakuwa kesi hii mungu Wangu!!

Huitaji kutaja jina ili waweze kujua mtu aliyetoboa siri....kuna vitu viwili vya msingi umevitaja kuhusu mtu aliyekupa huo umbea ambavyo vitamfanya ajulikane kiurahisi...
1. Ni mfanyakazi wa Wapo Radio
2. Alisimamia harusiyao

Unless kuna wafanyakazi wengi wa Wapo Radio walisimamia hiyo harusi
 
Ama kweli wewe ni lawyer. Hujui hata lawyer/client privilege kwamba hutakiwi kusema ulichoambiwa na client wako huku kukiwepo na risk ya kwamba inaweza kutumika kwenye case

Ndo ma lawyer wetu
 
izo milioni 50 za flora alizoacha kwenye account ya mbasha, mbasha amesema ameshafungua mabucha ya nyama tz nzima. mabucha yake yanaitwa mbasha. nilimsikia akihojiwa na clouds tv
 
Flora Mbasha ajue Malaya ni Malaya tu. Angesema lini kama asingezaa haramu.

kweli kabisa anajaribu kujisafisha kwa jamii lakn anasahau kuwa yupo anayejua kila kitu na hafichwi kitu....

Sisi hatujui nan mkweli na nani muongo ila Mungu wao ndio anajua
 

kweli kabisa mkuu,, anataka sympath ya wanajf sisi wala hayatuhusu ,,, Mungu wao ndio anajua yote
 
Inawezekaana anayosema huyu dada yana ukweli ndani yake lakini jamaa nae ana mambo ya kizamani sana sasa unalala na panga kisa kumtisha mkeo si ujinga huo. Wanaume wengine hamnazo kabisaa.

una uhakika? Na kama ni kweli kwann hakuyasema tangu mwanzo anakuja kuyasema baada ya yeye kuzaa na Gwajima?

Wote ni walewale kasoro majina
 
Kila mtu ana matatzo yake kwenye ndoa...,ila babu yake angekuepo sijui ingekuwaje....
 

dah! Au ww ndio frola nn?

Hivi kama haya ni yakweli kwann hajayasema sku zote tangu alipoondoka kwa Imma?

Anasema aliifanya siri sasa ni nn kilichomfanya leo aropoke jf na kwann asingeyapeleka kwa wazee wao au kwa wasimamizi wa ndioa badala yake anayaleta hapa jf wakat anajua jamii inajua anakichanga cha mchepuko?

Hii ni drama tu, aache usanii yeye anatuhadaa sisi lakn amesahau kuwa Mungu anaona kila kitu
 

alaaaa unaficha niniii..........Baelezeeee sisi bana
 

mtoto aliyezaliwa juzi baba yake ni nani?

1/wakwako
2/wa imma
3/Gwajima


jibu...... ..............
 
mtoto aliyezaliwa juzi baba yake ni nani?

1/wakwako
2/wa imma
3/Gwajima


jibu...... ..............
kwani wewe baba yako nani? inawezekana baba yake sio yule unayemdhania kwasababu haujui tabia za mazaako. ulishawahi kumwuliza mamako hilo swali? sasa mbona unang'ang'ania kujua mtoto wa flora ni wa nani wakati wewe mwenyewe hauna uhakika kama baba yako ndiye yule? pengine mimi ninayeandika hapa ni baba yako you never know.....hilo ni suala la mbasha na flora, usisikilize magazeti.
 
Ubungoubungo;kwani wewe baba yako nani? inawezekana baba yake sio yule unayemdhania kwasababu haujui tabia za mazaako. ulishawahi kumwuliza mamako hilo swali? sasa mbona unang'ang'ania kujua mtoto wa flora ni wa nani wakati wewe mwenyewe hauna uhakika kama baba yako ndiye yule? pengine mimi ninayeandika hapa ni baba yako you never know.....hilo ni suala la mbasha na flora, usisikilize magazeti.

Flora Mbona kama una jazba sana katika hili?
Umeambiwa ujibu tu lakini yanakutoooka.
Sie tupo nyuma yako, punguza Jazber Flora.
 
huwez shindana na mwanamke kwenye kuchafuana, hizi ndio zao kidogo anasingizia ulikua unamuomba tigo, mara cjui ulikua unampiga nk uongo mtupu!!!

kama ni kupigwa inawezekana huyu jamaa alianza kumpiga baada ya kugundua anatembea na mchungaj si zaid ya apo, kwa iyo anaomba talaka baada ya kuzaa nje ya ndoa au? lini alianza kutembe a nje ya ndoa hadi akapata mimba?

binti aliyebakwa mbona mkubwa sana? alafu anazungumzia kabakwa mara kadhaa kweli huyu binti unabakwa mara kadhaa unaona shega tu?

mnyonge mnyongen haki yake mpen!!!
 
Hakuna mwanamke hata mmoja ambaye wakiachana na mumewe atamsifia kuwa alikuwa akimpenda na kumjali hayo ni ya kawaida sana NDOA hizi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…