Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katibasitti;
Umefanya vizuri kuandika humu jf lakini hukufanya vyema. Kama weye si Flora Mbasha basi usikubali kubeba mizigo ya wengine.
Hawa wawili kila mmoja anataka aonekane ka si yeye anamchafua mwenzake bali watu wa kando kando ka akina katibasitti. Nasema; mtu asikubali kuubeba msalaba wa mwingine. Jiulize, alikuwa wapi asikuambie hayo mambo mpaka leo? Kana ni jema. kwa nini asiandike yeye mwenyewe? Huu ni umbeya na wambeya hawana nafasi mbele za Mungu. Aliisha amua kukaa kimya basi aendelee kukaa kimya vivyo hivyo. Yupo aliyekuwa anaona unyama huo, ndiye angelimpigania. Tunaye mwamba imara awezaye kutushindia vita vyetu. JF haiwezi kusuluhisha nyumba ya Flora, wala hakuna mwanadam awezaye kusuluhisha nyumba yake Flora. Ni Mungu tu.
tatizo kubwa, mtu anapokuwa amemwacha Mungu hutamani aende na wengi. Hapana. Mwambie Flora asifunguke zaidi. Aachane na media. Angejiimbia nyimbo zake na kama hana hatia mbele za Mungu, Mungu angemtetea. Sasa ameamua JF tumteteee? Wana muuliza, na kale kamtoii ni ka Mbasha au 'jima??
Acha kelele humu JF, tulia mbele za Mungu ndipo utauona utukufu wa Mungu. Sasa hivi, watakuzushia kuwa unataka kuivunja nyumba ya mtu. Ohoooo
.......Wakati naanza kusoma huu uzi nilihisi ataelezea japo kidogo kuhusu mtoto mpya lakini kajizungusha wee, wala hajagusia kuhusu mtoto wa Gwajima. Any way, pole zake sana kama aliyoyaeleza yamemkuta kweli.Aeleze kwanza mtoto mpya wa nani!!
kama kweli mbasha alikuwa anataka tigo ya flora, basi namdharau sana. uhakika kuwa alibaka yule mtoto upo, mbasha anaenda jela 30yrs. ni mjinga sana sana. DNA imepimwa inaonyesha ni kweli (ninavyosikia) mbegu zake ndio zilikuwa kwenye mbunyee ya yule binti. kuna audio moja alikuwa anaongea kumbe wenzie wamerecord, anaomba msamaha kwa yule binti. mbasha ni mjinga sanasana na kama hayo yanayoongelewa ni ya kweli basi ameula wa chuya.
tunaomba kujua historia yake ilikuwaje, au alikuwa jambazi nini zamani? ukimwangalia flora alipokuwa anaimba, ni kweli alionyesha analazimisha kufurahi. jamani kama kweli hayo manyanyaso aliyoyasema hapo ni ya kweli, basi mbasha hana maana. anataka tigo?tigo halafu anatuimbia? mimi ni mwovu lakini sitaki kabisa kusikia tigo, tena bora ingekuwa kwa hawara au changudoa, kwa wife? dah, alipitiliza.
mbasha anatakiwa ajitetee, la sivyo, silence inamaanisha allegation ni za kweli.
jamani, flora anasema kitu cha kweli. i am a lawyer, hata kabla ya kugombana wakati wanapendana nilishawahi kuwa approched na flora akitaka kujua haki za binadamu hasa katika ndoa. niki connect hiki alichosema na vile alivyokuja kwangu nahisi alificha hii kitu kwa kitambo sana na alishaanza kujiandaa kuondoka kitambo sana. hii kitu inahitaji kuchunguzwa kama ni kweli haki itendeke.
NAHISI KUNAWANAOJISIKIA KUOLEWA NA EMMANUEL!!NA WENGINE WAKIMTAMANi flora!!!mnakazi
Happyv HNY yaani hapa nikonapatasupu nimeaga naenda angalia Chelsea at least nikusalimie kwema!!log shuguli tulimalizamchana bans nkatamani nikupe chabo kwelu semasimu aifanyi attachmentsupo misvu happyvalentinems limie huyo haponaona sasahi vi upobreakkipind cha kwanzata yari...kunywama ji,
Happyv HNY yaani hapa nikonapatasupu nimeaga naenda angalia Chelsea at least nikusalimie kwema!!log shuguli tulimalizamchana bans nkatamani nikupe chabo kwelu semasimu aifanyi attachments
Mmmmmmmhh kumbe ni kwl ndoa yao ina misuko2 nina rafiki yangu mtangazaji wa radio wapo aliwasimamia ndoa yao alishaniambia mara nyingi sana kuwa ndoa yao ina mtafaruku...any way move on frola ila hakuna couple niliyokuwa naipenda kama yenu!!so sad
Wanaume wanapenda tigo sijui ni kwanini? tena unakuta ni mume wa ndoa anakuomba tigo shenzi sana
Aeleze kwanza mtoto mpya wa nani!!